Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

Baada ya IMF anayefuata ni Katoliki.

kwahiyo sio wamchezo mchezo, unahubiliwa na unafundishwa kazi na ujasiliamali
 
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
Din zote ni mifumo ya kikatili, kikoloni na kinyonyaji inayowakandamiza na kuwaumiza waumini wake kwa kuwajaza ujingaa.
 
Wale hawachaguagi pori ni Mungu huku wanatafuta pesa angali mapori yote wanayovamia watu wait utawakuta na vielelezo vyote na hati pia.
Huko Chato kuna mji unaitwa Bwanga,walikamata ekari za kutosha enzi hizo kukiwa porini,leo umekuwa mji mkubwa mpaka serikali inawaomba maeneo ijenge shule na hospitali,serikali haikuforecast ila wao walishaona kitambo kuwa hapautakuja kuwa mji mkubwa
 
Back
Top Bottom