Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

Kuachia ndevu ni jambo la kimaumblie kwa wanaume na ni mwenendo wa Mitume wote wa Allah ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yake)

Ah! Wapi! Sisi hatuogopi viumbe, tunamuogopa Allah aliyewaumba viumbe vyote ikiwemo hao washirkina unaowaoverrate. Nadhani hujawahi kusoma chochote kuhusu Crusades ambayo ili anzishwa na "Pope" Urban II, na mwisho wake ukawaje!


Mbona hawajaweza kuandika kengine mfano wake? Waweze kukiandika washindwe kuandika kama kile kwa miaka 1400?


Challenge iliyotolewa na Qur-aan wameweza kuijibu kwa zaidi ya miaka 1400? Ni Challenge imesimama mpaka leo na itasimama. Wameshindwa mabingwa wa kiarabu na ufasaha wake ije kuwa hao washirikina wa kirumi na kigiriki! Hawana hata sanad ya walioandika vitabu vya biblia, sanad zinazorudi mpaka kwa Yesu na Manabii wengine ndani ya biblia!

Hivi unaijua Qur-aan kweli?
Mkuu kama unaamini huu ni mwaka 2025 tayari umeshaingia katika mfumo, maana calendar zinazotumika sasa zilitengenezwa na Papa Gregory ndiyo maana miaka hiyo ikajulikana kama Gregorian calendar.
Huo ni mfano mdogo tu wa namna hawa jamaa walivyoshiriki katika kuunda mifumo ya ulimwengu huu.
Najua utajaribu kujifaragua kuwa huu ni mwaka 14... lakini ukweli ni kwamba kwenye setting za vifaa vyako vya umeme na nyumbani kwako na ratiba zako zote kwa 100% zinategemea calendar yaohaujawahi kubandika hiyo calendar yenu ya msikitini
Ahaaaa na tarehe 1 january anashetehekea sikukuu ya mwaka mpya bila kujua ni mfumo wa kikatoliki uliopanga hiyo kalenda
Na bado anasherehekea kwamba birthday yake ni tarehe flani mwezi flani bila kujua tayari ameshajaa kwenye mfumo
 
Ahaaaa na tarehe 1 january anashetehekea sikukuu ya mwaka mpya bila kujua ni mfumo wa kikatoliki uliopanga hiyo kalenda
Hizo namba zinazo tumika kuandika huo mwaka nazo zilianzishwa na wakatoliki?
 
Tena bakwata Wanaongozwa na serikali ndio maana hawawezi kuipiga serikali mkwala kama wanavyofanya maaskofu wa kanisa takatifu katoliki la mitume🤣🤣
 
Kwanza mnajua mkatoriki hawezi kuwa raisi USA kwa nini?
 
HIZI NI FIKRA ZA KIJINGA TENA, ZA WATU WA ZAMANII, HIVYO NDIVYO WALIVYOKUA WANAAMINISHANA.

TENA ZAMANI YENYEWE ENZI, WANAUME WA KIAFRIKA WALIOSHIBA WAKIMBEBA MAMA WAKIZUNGU MABEGANI, KUMPELEKA MOROGORO, HUKU AKIWA AMEKALIA KITI ANASOMA KITABU.
NA FIKRA HIZO ZIMEKUJA KUISHIA ENZI ZA WANYONYA DAMU, NASHANGAA HADI DUNIA YA LEO MTU KUWA NA FIKRA HIZO.
NGUVU HIZO ZA KATORIKI, HUKO DRC HAZIKO, RWANDA, UGANDA HAZIKO.

JE KULE KOREA KASKAZINI AMBAKO HATA BIBILIA IMEPIGWA MARUFUKU, KATORIKI WAMEFANYA NINI.
 
Acheni kujipa ukuu msio kuwa nao hapo Rwanda tu kagame amefunga makumi ya makanisa ya wakatoliki na haja fanywa lolote .
Mwaka juzi nchini Nicaragua 🇳🇮 maasikofu wa nchi hiyo walileta pigo kama za TEC kutaka kuipangia serikali ifanye nini wakakamatwa wote wakatupwa ndani na mpaka sasa wako jera na papa hakuweza kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele za waachiwe.
Hata hapa Tz wanatoa bwabwaja hizi kwasababu serikali ndo ina walea na kuwapuuza,lakini siku akiingia kiongozi mkorofi wakamletea hizi bwabwaja zao atakuja kukisambaratisha hicho kitaasisi chao uchwara kinacho itwa tec

Kwanza mnajua mkatoriki hawezi kuwa raisi USA kwa nini?
USA siyo nchi ya kikatoliki ile,wa marekani ni wakristo wa madhehebu mengine
 
Namba za kirumi unazijua?
Tatizo sio namba zinaandikwaje tatizo ni asili ya kalenda
Kwa nini hawatumii namba zao za kirumi kama wana hizo nguvu mnazo zisema badala yake watumie namba za kiarabu?
 
HIZI NI FIKRA ZA KIJINGA TENA, ZA WATU WA ZAMANII, HIVYO NDIVYO WALIVYOKUA WANAAMINISHANA.

TENA ZAMANI YENYEWE ENZI, WANAUME WA KIAFRIKA WALIOSHIBA WAKIMBEBA MAMA WAKIZUNGU MABEGANI, KUMPELEKA MOROGORO, HUKU AKIWA AMEKALIA KITI ANASOMA KITABU.
NA FIKRA HIZO ZIMEKUJA KUISHIA ENZI ZA WANYONYA DAMU, NASHANGAA HADI DUNIA YA LEO MTU KUWA NA FIKRA HIZO.
NGUVU HIZO ZA KATORIKI, HUKO DRC HAZIKO, RWANDA, UGANDA HAZIKO.

JE KULE KOREA KASKAZINI AMBAKO HATA BIBILIA IMEPIGWA MARUFUKU, KATORIKI WAMEFANYA NINI.
Korea kaskazini hawana habari na ukristo wala uislamu,wao wa dini zao
 
Kwa nini hawatumii namba zao za kirumi kama wana hizo nguvu mnazo zisema badala yake watumie namba za kiarabu?
Mmmmmh! et namba za kiarabu! Ebu leta evidence
 
Fuatilia uchaguzi mkuu wa DRC 2019 uliomuweka Felix madarakani.

1😀RC ndiyo nchi yenye wakatoliki wengi barani Africa wakifikia 45M+

2:RC ilikuwa na mgombea wake Martin Fayulu na kanisa lilimuunga mkono wazi wakati wa kampeni.

3:Siku ya uchaguzi liliweka waangalizi wakifikia 40,000 nchi nzima na lilikuwa na kituo chake cha kujumlishia kura.

4:Mpaka dakika za nyongeza Felix kura 7M Fayulu 6.4M.

5:Kanisa likajitokeza hadharani kupinga hayo matokeo kwamba ni tofauti na ya kwao!!
Hee ..ikaishiaje sasa...
 
Huko Chato kuna mji unaitwa Bwanga,walikamata ekari za kutosha enzi hizo kukiwa porini,leo umekuwa mji mkubwa mpaka serikali inawaomba maeneo ijenge shule na hospitali,serikali haikuforecast ila wao walishaona kitambo kuwa hapautakuja kuwa mji mkubwa
Wale akili kubwa Sana, kuna sehemu huko mkoani tulikuwa tunapita tukiwa na sister na Padre wakatwambia l nyie vijana hili ni eneo kanisa! Ni mbali haswa sahizi nasikia kuna seminar kubwa huwezi amini na siku nyingi kweli
 
Back
Top Bottom