Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
Mkuu wafuga ndevu siku wakipata ufunuo wa hii taasisi,wataogopa sana...ni mfumo hatari sana.
Hata gicho kitabu kutoka 'mbinguni' ma achtec ni wao.
 
mama kasoma dua moja tu, mungu akajibu, wacheni kucheza na wateule, vitabu vilishanena likiandikwa duniani n mbinguni lishaandikwa, haya nendeni kustaki
Yule alikufa tangu mwezi wa pili,
 
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
Ujumbe umemfikishia ushungi?
 
mama kasoma dua moja tu, mungu akajibu, wacheni kucheza na wateule, vitabu vilishanena likiandikwa duniani n mbinguni lishaandikwa, haya nendeni kustaki
Mama nani?
 
Unataka kumtisha Mhe. Rais? Serikali haiongozwi kwa maamuzi kutoka kanisani. Zingatia hili mkuu.
Yeye mwenyewe anajua hilo ndio maana anamtumia Mwamposa na yule Kuhani wa Mchongo kule Mbezi kuwakomba waumini wa huko maana anaijua nguvu yao
 
Ushungi haogopi hilo
Ngoja tuone,Philip Mpango akiambiwa achague upande wa mama au papa atachagua papa,huu ni mfano tu kufanya kazi na watu ambao kwenye nyumba zao za ibada hawako upande wako
 
Na Nchimbi anachagua wapi? Namzungumzia Emma
 
Yeye mwenyewe anajua hilo ndio maana anamtumia Mwamposa na yule Kuhani wa Mchongo kule Mbezi kuwakomba waumini wa huko maana anaijua nguvu yao
Umeanza kupangia waumini dhehebu la kuabudu? Kwamba waumini hawana uelewa wa kutambua utofauti kati ya kiongozi wa dini na mamluki wa kidini?
 
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
Roma locuta, causa finita
 
Back
Top Bottom