Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

hilo kanisa lilishinda nchi gani? kwenye vita dhidi ya nani?
Kanisa halipigani hii vita ya ogyisical sijui mabomu sijui drone la hasha,kuna sehemu watakukamatia tuna utanyooka,ogopa sana kitu imani,
 
Kanisa halipigani hii vita ya ogyisical sijui mabomu sijui drone la hasha,kuna sehemu watakukamatia tuna utanyooka,ogopa sana kitu imani,
Hata mie najua kuwa kanisa haina jeshi lakini silahanyake ni imani yao na waumini,na kila rais mwislamu alishapigwa waraka,mwinyi alipigwa waraka,jakaya alipigwa waraka na samia nae kapigwa waraka,sasa sio jambo jema kabisa kudhani kuwa kwakuwa sisi tuna waumini tunaweza kuwatumiavwaumini wetu ili tufanikishe lengo fulani kwasababu imani zingine nazo zitainuka kupambana na matokeo yake tutaharibu nchi.
 
Ktu amjajua serkal zote dunian zko chin ya roma empire ndio mana papa alienda falme za kiarabu na akapokelew ki heshima ukiangalia ma tamko ya ma askofu utaelewa viongoz wa kisias wako kma kivul ndio mana vyuo vikubwa hosptal kubwa na shule kubwa zko chin ya roman catholic
VIongozi wa kisiasa, wangekua ni vivuli tu, Basi wasingekua wakichukua hatua, na wakatoriki kuwa watoa matamko tu, ambayo mwanasiasa anaamua ayasikilize au ayapuuzi na hakuna padri WOWOWOTE wakufanya fyoko.
 
Back
Top Bottom