Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.
Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali
Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili
Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani
Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.
Cc SSH