Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,088
- 4,496
Bakwata ni tawi la mbogamboga lililokabidhiwa Kwa mashehe Ili kuwapumbaza makobazi wasiojitambua, lakini wale wachache wanaojitambua hawajanasa kwenye mtego huoNa bakwata je ?
Bakwata ni tawi la mbogamboga lililokabidhiwa Kwa mashehe Ili kuwapumbaza makobazi wasiojitambua, lakini wale wachache wanaojitambua hawajanasa kwenye mtego huoNa bakwata je ?
Sasa ww usiye jua kuwa %65 ya raia wa Marekani ni wakatoliki na tarakimu ni namba zilizo buniwa na waarabu tukusaidie kwalipi?Mmmmmh! et namba za kiarabu! Ebu leta evidence
Serikali ya Rwanda ilifunga vigango na marokia zaidi ya 50 kwa kutokidhi vigezo.Kagame alifungia hayo mengine wewe RC hakuna mmiliki wa kanisa,.pia kagame aliwambia wachungaji wakasome kuanzia degree 1 sio chini ya hapo! Sasa kuna Padre asiye na degree? Kataa kubali mifumo yote ya uongozi imetokea huko.
Kwa hiyo siku hizi ukisha kuwa na degree basi ww unakuwa mtawala wa dunia?Mchakato wakuwa padre acha kabisa,ukimaliza form six unasota miaka sita au saba,daraja la upadre lazima uwe na degree ya theology
So kila padre unayemuona ujue ana degree
Huwajui vzr bakwata wewe!?Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.
Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali
Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili
Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani
Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.
Cc SSH
Asilimia 65 ni wana protest catholic,around 30% ndo catholicSasa ww usiye jua kuwa %65 ya raia wa Marekani ni wakatoliki na tarakimu ni namba zilizo buniwa na waarabu tukusaidie kwalipi?
Hiyo si elimu ambayo watoto wanajifunza wakiwa darasa la 5 au ww ulikimbia umande?
Sina maana hiyo,maana yangu ni kuwaile order yakufutamakanisa uchwara huko Rwanda haikuwagusa RC maana wao wamesomea dini tofautina walokole matapeliKwa hiyo siku hizi ukisha kuwa na degree basi ww unakuwa mtawala wa dunia?
Katika matamko yote ambayo tec imesha yatoa mpaka sasa dhidi ya serikali ni lipi ambalo lilisha timizwa?
Mambo yanaenda yakibadilika, zamani bila kusoma seminari za misheni huwi padri lakini sasahivi unasoma shule yoyote ila huko mbeleni unaweza kusomea upadri, duniani kote kuna uhaba wa mapadri.Mchakato wakuwa padre acha kabisa,ukimaliza form six unasota miaka sita au saba,daraja la upadre lazima uwe na degree ya theology
So kila padre unayemuona ujue ana degree
Sikufanikiwa kwenda shule.Duh we umeishia darasa la ngapi ndugu
Mie ndiyo nasikia kwako 🤣🤣😀😀😀Ninakusahihisha kidogo mkuu;
Papa ndiye Mw/kiti wa UN[Umoja wa Mataifa].Papa akisha chaguliwa na kupitishwa rasmi kuongoza taasisi ya kidini [Roman Catholic], automatically anakuwa ndiye Mwenyekiti wa UN,Katibu Mkuu wa UN huchaguliwa kwa kura,pia huwa na muda wa kuongoza,muda wake ukiisha huchaguliwa mwingine kwa kura pia, tofauti na papa,ataongoza kwa kipindi chote cha uhai wake.
NikweriMimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.
Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali
Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili
Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani
Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.
Cc SSH
Sio saba tu mpaka miaka 8, form four yao ni miaka 5, halafu wenyewe wanatushangaa tunavyobishana na wakaanga bis 😂😂😂Mchakato wakuwa padre acha kabisa,ukimaliza form six unasota miaka sita au saba,daraja la upadre lazima uwe na degree ya theology
So kila padre unayemuona ujue ana degree
Wanapingana, za kuambiwa changanya na zako.Mtoa mada naona kama upo sahihi hivi. Kuna Padre mmoja juzi juzi hapa kabla ya PASAKA ya juzi jumapili alipokuwa akitoa semina kuna wakati mwingine alisema hivi, Donald Trump ambaye ni Rais wa Marekani sasa pamoja na ujeuri wake wote lakini jambo likisemwa na Papa, Trump hana ubavu wa kupinga, zaidi sana ataunga mkono. Wenyewe wanaita Roman Empire.
Mfumo wa ccmNa bakwata je ?
hilo kanisa lilishinda nchi gani? kwenye vita dhidi ya nani?Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.