Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

mama kasoma dua moja tu, mungu akajibu, wacheni kucheza na wateule, vitabu vilishanena likiandikwa duniani n mbinguni lishaandikwa, haya nendeni kustaki
Chini CCM regime hakuna chochote kilichoandikwa duniani na mbinguni hao ni laana tupu.
 
Fuatilia uchaguzi mkuu wa DRC 2019 uliomuweka Felix madarakani.

1😀RC ndiyo nchi yenye wakatoliki wengi barani Africa wakifikia 45M+

2:RC ilikuwa na mgombea wake Martin Fayulu na kanisa lilimuunga mkono wazi wakati wa kampeni.

3:Siku ya uchaguzi liliweka waangalizi wakifikia 40,000 nchi nzima na lilikuwa na kituo chake cha kujumlishia kura.

4:Mpaka dakika za nyongeza Felix kura 7M Fayulu 6.4M.

5:Kanisa likajitokeza hadharani kupinga hayo matokeo kwamba ni tofauti na ya kwao!!
 
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
Kuhusu kanisa katoliki na baadhi ya makanisa kuwa ni mifumo ya kibeberu ya kimataifa ni kweli ...huwa nacheka sana waislamu na baadhi ya wakristo wanaodhani kanisa la katoliki ni DINI .....nikama kudhani KAKWATA ni chombo cha DINI 😁😁😁😁 hivyo ni vyombo vya kiserikali au vya kimamlaka vya dunia ...kwa hapa tz serikali iliunda bakwata kisha kuwa danganya waislamu kuwa ni chombo cha DINI YA KIISLAMU jambo ambalo siyo kweli ....ila serikali ya ccm awakuweza kuwa na chombo cha kikristo cha namna ya bakwata hivyo wametumia mbinu mpya ya kuanzisha makanisa ya mikononi na mitume feki na ulokole kufanikisha kuunda chombo cha kikriisto cha kiserikali kwa kuwadanganya wakristo kuwa ni DINI...Hapa utawakuta wakina mwamposa gamanya zumaridi ... nk hao ni undercover wa serikali pumbavu ya sisiemu....watu kama waislamu mambumbumbu kama adriz FaizaFoxy Bwana Utam Mufti kuku The Infinity Malaria 2 ni ngumu kuelewa kuhusu ukatoliki...waislamu wanadhani wanapambana na DINI YA KIKRISTO kumbe ni chombo cha kibeberu cha mabeberu wakubwa duniani NATO NA USA
 
Mkuu wafuga ndevu
Kuachia ndevu ni jambo la kimaumblie kwa wanaume na ni mwenendo wa Mitume wote wa Allah ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yao wote)
siku wakipata ufunuo wa hii taasisi,wataogopa sana...ni mfumo hatari sana.
Ah! Wapi! Sisi hatuogopi viumbe, tunamuogopa Allah aliyewaumba viumbe vyote ikiwemo hao washirkina unaowaoverrate. Nadhani hujawahi kusoma chochote kuhusu Crusades ambayo ili anzishwa na "Pope" Urban II, na mwisho wake ukawaje!
Hata gicho kitabu kutoka 'mbinguni' ma achtec ni wao.

Mbona hawajaweza kuandika kengine mfano wake? Waweze kukiandika washindwe kuandika kama kile kwa miaka 1400?

Challenge iliyotolewa na Qur-aan wameweza kuijibu kwa zaidi ya miaka 1400? Ni Challenge imesimama mpaka leo na itasimama. Wameshindwa mabingwa wa kiarabu na ufasaha wake ije kuwa hao washirikina wa kirumi na kigiriki! Hawana hata sanad ya walioandika vitabu vya biblia, sanad zinazorudi mpaka kwa Yesu na Manabii wengine ndani ya biblia!

Hivi unaijua Qur-aan kweli?
 
Kuachia ndevu ni jambo la kimaumblie kwa wanaume na ni mwenendo wa Mitume wote wa Allah ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yake)

Ah! Wapi! Sisi hatuogopi viumbe, tunamuogopa Allah aliyewaumba viumbe vyote ikiwemo hao washirkina unaowaoverrate. Nadhani hujawahi kusoma chochote kuhusu Crusades ambayo ili anzishwa na "Pope" Urban II, na mwisho wake ukawaje!

Mbona hawajaweza kuandika kengine mfano wake? Waweze kukiandika washindwe kuandika kama kile kwa miaka 1400?

Challenge iliyotolewa na Qur-aan wameweza kuijibu kwa zaidi ya miaka 1400? Ni Challenge imesimama mpaka leo na itasimama. Wameshindwa mabingwa wa kiarabu na ufasaha wake ije kuwa hao washirikina wa kirumi na kigiriki! Wameshindwa kuhifadhi hata sanad ya walioandika vitabu vya biblia, sanad zinazorudi mpaka kwa walioandika kuhusu Yesu na Manabii wengine ndani ya biblia!

Hivi unaijua Qur-aan kweli?
Hii ambayo mkiisoma sana mnakuwa waganga wa kienyeji? Au Qur-aaran ipi
 
Bakwata ?
Hata waislam wenyewe baadhi hawaitambui
Bakwata iliyoanzisjwa na Nyetere.Mufti analipwa mshahara na serikali
Kama ni nyerere je ni marais wangapi wamepita waislamu baada ya Nyerere kwanini wasiweke sawa ? Bakwata na makanisa ya kilokole ni sawa sawa ni vyomba vya serikali ya ccm kwa maslai ya viongozi wa ccm...
 
Kuhusu kanisa katoliki na baadhi ya makanisa kuwa ni mifumo ya kibeberu ya kimataifa ni kweli ...huwa nacheka sana waislamu na baadhi ya wakristo wanaodhani kanisa la katoliki ni DINI .....nikama kudhani KAKWATA ni chombo cha DINI 😁😁😁😁 hivyo ni vyombo vya kiserikali au vya kimamlaka vya dunia ...kwa hapa tz serikali iliunda bakwata kisha kuwa danganya waislamu kuwa ni chombo cha DINI YA KIISLAMU jambo ambalo siyo kweli ....ila serikali ya ccm awakuweza kuwa na chombo cha kikristo cha namna ya bakwata hivyo wametumia mbinu mpya ya kuanzisha makanisa ya mikononi na mitume feki na ulokole kufanikisha kuunda chombo cha kikriisto cha kiserikali kwa kuwadanganya wakristo kuwa ni DINI...Hapa utawakuta wakina mwamposa gamanya zumaridi ... nk hao ni undercover wa serikali pumbavu ya sisiemu....watu kama waislamu mambumbumbu kama adriz FaizaFoxy Bwana Utam Mufti kuku The Infinity Malaria 2 ni ngumu kuelewa kuhusu ukatoliki...waislamu wanadhani wanapambana na DINI YA KIKRISTO kumbe ni chombo cha kibeberu cha mabeberu wakubwa duniani NATO NA USA
Bora wewe umeligundua mapema hilo
 
Ni
Kuachia ndevu ni jambo la kimaumblie kwa wanaume na ni mwenendo wa Mitume wote wa Allah ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yake)

Ah! Wapi! Sisi hatuogopi viumbe, tunamuogopa Allah aliyewaumba viumbe vyote ikiwemo hao washirkina unaowaoverrate. Nadhani hujawahi kusoma chochote kuhusu Crusades ambayo ili anzishwa na "Pope" Urban II, na mwisho wake ukawaje!

Mbona hawajaweza kuandika kengine mfano wake? Waweze kukiandika washindwe kuandika kama kile kwa miaka 1400?

Challenge iliyotolewa na Qur-aan wameweza kuijibu kwa zaidi ya miaka 1400? Ni Challenge imesimama mpaka leo na itasimama. Wameshindwa mabingwa wa kiarabu na ufasaha wake ije kuwa hao washirikina wa kirumi na kigiriki! Hawana hata sanad ya walioandika vitabu vya biblia, sanad zinazorudi mpaka kwa Yesu na Manabii wengine ndani ya biblia!

Hivi unaijua Qur-aan kweli?
Kijitabu tuu mkuu
 
Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu.

Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa.
Kuanzia siku hiyo niliacha kusali

Papa ni kama katibu mkuu wa UN kimamlaka,bisha usibisha ,Ayatollah mwenyewe analijua hili

Ninaamini Mungu yupona Yesu yupo na alikuwepo,
Bila mfalme Constantine ukristo ingekuwa dini yenye wafuasi eachache lakini iliyonyooka sana,huyu mfalme kwangu ndio baba wa ukristo ukionfoa Yesu mwenyewe,wengine mtasema mtume Paul ndio champion wa ukristo after Jesus.
.
Kupingabana RC ni kujitafutia balaa hawa ni mafia,wameshika mifumo yote ya kiutawala duniani

Huwezi kuona padri aliyehasi au kuachana na ukatoliki akawasema vibaya anajua kitakachompata.

Cc SSH
Mnapenda kujipa ukuu. ..nakumbuka mlisema madhali TEC wametoa tamko kupinga Dp world,basi Samia athubutu kuwapa bandari aone chamoto.

Mkamalizia na kajimsemo kenu sijui "" finito banito" Serikali imeingia mkataba na Dp world na hamna kenge yoyote aliyefanya chochote.....
 
Bora wewe umeligundua mapema hilo
Nilisha waambia sana watu kuwa wakisikia kitu ni madhehebu wakiogope kama ukoma ...madhehebu maana yake ni FITINA ZA DUNIA KWA KUTUMIA DINI....hivyo siyo MUONGOZO WA MUNGU WA KWELI...Yesu wala Muhammadi awana madhehebu .
 
Mnapenda kujipa ukuu. ..nakumbuka mlisema madhali TEC wametoa tamko kupinga Dp world,basi Samia athubutu kuwapa bandari aone chamoto.

Mkamalizia na kajimsemo kenu sijui "" finito banito" Serikali imeingia mkataba na Dp world na hamna kenge yoyote aliyefanya chochote.....
Ulitaka Samia afanywe nini ndio useme hapo sawa.Kyna vitu mimi na wewehatuwezi kuvijua ila vipo
 
Kuachia ndevu ni jambo la kimaumblie kwa wanaume na ni mwenendo wa Mitume wote wa Allah ikiwemo Yesu (Amani iwe juu yake)

Ah! Wapi! Sisi hatuogopi viumbe, tunamuogopa Allah aliyewaumba viumbe vyote ikiwemo hao washirkina unaowaoverrate. Nadhani hujawahi kusoma chochote kuhusu Crusades ambayo ili anzishwa na "Pope" Urban II, na mwisho wake ukawaje!

Mbona hawajaweza kuandika kengine mfano wake? Waweze kukiandika washindwe kuandika kama kile kwa miaka 1400?

Challenge iliyotolewa na Qur-aan wameweza kuijibu kwa zaidi ya miaka 1400? Ni Challenge imesimama mpaka leo na itasimama. Wameshindwa mabingwa wa kiarabu na ufasaha wake ije kuwa hao washirikina wa kirumi na kigiriki! Hawana hata sanad ya walioandika vitabu vya biblia, sanad zinazorudi mpaka kwa Yesu na Manabii wengine ndani ya biblia!

Hivi unaijua Qur-aan kweli?
Mkuu kama unaamini huu ni mwaka 2025 tayari umeshaingia katika mfumo, maana calendar zinazotumika sasa zilitengenezwa na Papa Gregory ndiyo maana miaka hiyo ikajulikana kama Gregorian calendar.
Huo ni mfano mdogo tu wa namna hawa jamaa walivyoshiriki katika kuunda mifumo ya ulimwengu huu.
Najua utajaribu kujifaragua kuwa huu ni mwaka 14... lakini ukweli ni kwamba kwenye setting za vifaa vyako vya umeme na nyumbani kwako na ratiba zako zote kwa 100% zinategemea calendar yao na haujawahi kubandika hiyo calendar yenu ya msikitini
 
Fuatilia uchaguzi mkuu wa DRC 2019 uliomuweka Felix madarakani.

1😀RC ndiyo nchi yenye wakatoliki wengi barani Africa wakifikia 45M+

2:RC ilikuwa na mgombea wake Martin Fayulu na kanisa lilimuunga mkono wazi wakati wa kampeni.

3:Siku ya uchaguzi liliweka waangalizi wakifikia 40,000 nchi nzima na lilikuwa na kituo chake cha kujumlishia kura.

4:Mpaka dakika za nyongeza Felix kura 7M Fayulu 6.4M.

5:Kanisa likajitokeza hadharani kupinga hayo matokeo kwamba ni tofauti na ya kwao!!
No wonder M23 wanamsumbua rais wa DRC
 
Marekani akifika hapo Anatulia na nakuweka miono mbele maana mifumo yote ya uongozi imeanzia Katoliki
Acheni kujipa ukuu msio kuwa nao hapo Rwanda tu kagame amefunga makumi ya makanisa ya wakatoliki na haja fanywa lolote .
Mwaka juzi nchini Nicaragua 🇳🇮 maasikofu wa nchi hiyo walileta pigo kama za TEC kutaka kuipangia serikali ifanye nini wakakamatwa wote wakatupwa ndani na mpaka sasa wako jera na papa hakuweza kufanya chochote zaidi ya kupiga kelele za waachiwe.
Hata hapa Tz wanatoa bwabwaja hizi kwasababu serikali ndo ina walea na kuwapuuza,lakini siku akiingia kiongozi mkorofi wakamletea hizi bwabwaja zao atakuja kukisambaratisha hicho kitaasisi chao uchwara kinacho itwa tec hamtaamini.
 
Mkuu kama unaamini huu ni mwaka 2025 tayari umeshaingia katika mfumo, maana calendar zinazotumika sasa zilitengenezwa na Papa Gregory ndiyo maana miaka hiyo ikajulikana kama Gregorian calendar.
Huo ni mfano mdogo tu wa namna hawa jamaa walivyoshiriki katika kuunda mifumo ya ulimwengu huu.
Najua utajaribu kujifaragua kuwa huu ni mwaka 14... lakini ukweli ni kwamba kwenye setting za vifaa vyako vya umeme na nyumbani kwako na ratiba zako zote kwa 100% zinategemea calendar yao na haujawahi kubandika hiyo calendar yenu ya msikitini
Ahaaaa na tarehe 1 january anashetehekea sikukuu ya mwaka mpya bila kujua ni mfumo wa kikatoliki uliopanga hiyo kalenda
 
Back
Top Bottom