tetea tete
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 388
- 127
Kama mwenye nyumba alikataa kwanini mnauza? Kama mnataka kuuza Jengeni yenuKama kweli hana roho mbaya basi anipe mali na kuniacha nizile kwa uhuru. Si anipe kwa shingo upande sababu ameshindwa kwenda nazo kaburini.
Kuwaambia watu wasiuze mali yako ukifa ni kilele cha roho mbaya.
Mbona mwenyewe alipokuwa na matatizo hakuiuza.?
Punguzeni uvivu.
Kwa sasa sisi ndiyo wenye nyumbaKama mwenye nyumba alikataa kwanini mnauza? Kama mnataka kuuza Jengeni yenu
Watoto watafute chao aisee km mpaka sasa hawajielewi hiyo hela haitasaidia chochote zaidi ya laana tu.Alikataa enzi za uhai wake hata kama akitangulia
Mtu ana haki ya kumpa mali yake yeyote amtakaye. Kama akisema akifa mali yake ipewe taasisi fulani na akaweka hilo kisheria basi itapewa. Kama ni maneno tu bila nguvu ya kisheria au kuna utata wa kisherai wosia utapingwa.Kwenye kutenda haki hapo Nina mashaka kama wosia ukisema Mali za marehemu zipewe aidha taasisi fulani na sio watoto...je hapa wosia utapingwaje?
Naunga mkono hojaMtu ana haki ya kumpa mali yake yeyote amtakaye. Kama akisema akifa mali yake ipewe taasisi fulani na akaweka hilo kisheria basi itapewa. Kama ni maneno tu bila nguvu ya kisheria au kuna utata wa kisherai wosia utapingwa.
Ikiwa alisema pasiuzwe mkauza inakula kwenu. Ila akitokea mwerevu akagoma kushiriki na wenzake wakaendelea basi waliopata mowanja lazima watakuwa mafukara wakati alie goma kula hela ya urithi atakuwa tajiri. That is how karima work. Tena inaenza enda mbali alie goma kula mkwanja akaja kinunua tena Kiwanja cha Mzee wake.Inauzwa tu. Unakuta warithi ni vichwa maji wana njaa kali au wana ugomvi wa kugombea mali wanaona bora wauze tu
Kwahyo mnataka kuuza ili muwe maskini wa kupanga au?Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Nakubali, kuzaa toto lenye akili hizi lazima uwe Freak tu.Sasa kama unataka kucontrol walio hai ukiwa kaburini kwa nini usiitwe control freak?
Umesamsaliti marehemu. Ni sawa tu na mtu akakuachia pesa upeleke nyumbani kwake halafu akafa kisha ukaila. Hakuna sheria ya kukuhukumu ila unabaki kuwa msaliti.Hapana mtu akishafariki hana lake kwenye Mali maana yake pia hawezi kuwaongoza walio hai labda uwe na imani za kishetani ila hapo hakuna usaliti
Thamani ya hiyo nyumba hapo kariakoo?Zipo nyumba kariakoo zinashindikana kuuzika, reason ni koo imezaliana na kuwa na idadi ya watu ya kutisha, unakuta familia ina watu 150, hao waliowaachia watoto nao walirithi.
Isiuzwe,kwani iyo nyumba isingekuwepo wangeishije sema saivi mind zao ziko stagnant,zime stuck hapo kwa hapo nyumba iiuzwe. Wapangishe wale Kodi kwa zamu ama iwe inagawiwa kwa wote equal ratioAlikataa enzi za uhai wake hata kama akitangulia