Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

Kuna ugumu Gani wa kumfikisha mwanamke kilelen?

Binafsi nilichelewa kuingia kwenye ulimwengu wa kimahusiano. Moja ya sababu zilizonichelewesha ni uoga wa kutongoza. Nilikuwa mjanja sana ila Zuzu Kwa wanawake. Kutongoza ilikuwa ni adhabu kwangu, niliamua kuchagua Maisha tofauti mapenzi nikawaachia wengine!!

Muda mwingi niliutumia kujifunza kuhusu mapenzi, Moja ya kelele nilizokutananazo ni Tatizo la kutomfikisha mwanamke kileleni na shida ya nguvu za kiume..

Nilichogundua, sababu pekee inayoweza pelekea mwanamke asifike kileleni ni UBAKAJI, Yani kulazimisha tendo pasipo hiari yake..

Sasa huwa sielewi, kwanini wanawake wengi bado wanalalamikia kutofikishwa ama malalamiko yao ni FAKE Ili kutengeneza mazingira ya kutusimanga wanaume!!
Kila mtu atafute raha zake.. kukojozana kumepitwa na wakati
 
Kuto kuandaliwa vizuri...husababisha mwanamke asifike kileleni
Hata usipomwandaa unaweza mfikisha Kwa kumfanya afurahie tendo pekee!!
Niliwai kuwa na mwanamke akifika home anaichukua anajihudumia mwenyewe, bday ya muda ananiambia Kamaliza hata kuendelea hataki tena..
 
Mi huwa sihangaiki mi nikikojoa tu nishamalizana na mhusika mambo ya kuridhisha mtu ili iweje?
 
Mkuu, kuna wanawake wamekubuu sana. Yaan hawana hisia kabisa. Hao ndio wengi huwa hawafiki. Ila shida sio ya wanaume, ni kukubuu kwao
 
Mkuu, kuna wanawake wamekubuu sana. Yaan hawana hisia kabisa. Hao ndio wengi huwa hawafiki. Ila shida sio ya wanaume, ni kukubuu kwao
Kama Hana hisia nawe hauwezi mfikisha. Ni sawa na kumbaka. Utaishia kumuumiza tu
 
Back
Top Bottom