Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

Okk

Member
Joined
Dec 29, 2024
Posts
62
Reaction score
105
Samaleykum,

Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu kama kifutu sababu ya kula kula ovyo kisa pesa ipo, Mbona wale wengine ambao ni wa age hizo na wanapambana mtaani miili yao iko fresh tu,
kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kupenda kula kula kisha kunenepa ovyo.

Matataizo yao ni
1) kuonekana mzee ungali kijana,
2) kupumua kwa shida na
3) kukoroma ovyo

Acheni kula kula ovyo wazee, unene kupitiliza hasa katika umri mdogo ni hatari kwa afya
 
Attachments

  • 20221002_195828.jpg
    20221002_195828.jpg
    341.2 KB · Views: 1
Samaleykum,
Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu kama kifutu sababu ya kula kula ovyo kisa pesa ipo, Mbona wale wengine ambao ni wa age hizo na wanapambana mtaani miili yao iko fresh tu,
kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kupenda kula kula kisha kunenepa ovyo.

Matataizo yao ni
1) kuonekana mzee ungali kijana,
2) kupumua kwa shida na
3) kukoroma ovyo

Acheni kula kula ovyo wazee, unene kupitiliza hasa katika umri mdogo ni hatari kwa afya
wewe ni design fulani hayati issa matona alimuimba 'mtu mwenye tumbo dogo mama kwa kula hawezekani'
 
Sio pesa za serikali kimsingi ukishajipata kifuatacho ni kunenepa
hapa nimesema serikali sababu ya "permanent and pensionable" kama huamini wasubiri wa sekta binafsi wa USAID mwezi tu, mwili wote unashuka.

kwa wafanyabiashara sitaki kuwaongelea hao
 
Ndiyo na tulikuona nane Mbeya tolea ufafanuzi.
1. Bia kwa sanaa
Napiga sanaa Fish, sere lemon na Sere lite

2. Nyama choma kwa sanaa.
Yaani kitimoto pale kati kwa bia dah Mashallaaaah

3. Totoz
Mbuny(e) zinaliwa sanaa.

4. Kukosa muda wa mazoezi.
Muda wote niko bize.
Hapa navyoandika hii comment nipo ndani ya cruiser safarini napita Mbeya naelekea Dom, kukaa wiki.

Nikitoka huko, bajeti >>> miradi >>> N.K
hivyo nakosa muda wa kufanya tizi ili nifanye "Fat burn""

After all kuishi mara moja na kufa kupo, hivyo JUST LIVE ONCE BECAUSE YOU LIVE ONCE.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mada closed
 
Ndio hawa wanakujaga bar wamevaa tshirt na vipensi huku mkono mmoja wameshika simu Janjq tatutatu na mkono mwingine wameshika funguo za gari,halafu hawaagizagi bia mojamoja wanaagiza bia 10 wanazijaza mezani
 
Samaleykum,

Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu kama kifutu sababu ya kula kula ovyo kisa pesa ipo, Mbona wale wengine ambao ni wa age hizo na wanapambana mtaani miili yao iko fresh tu,
kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kupenda kula kula kisha kunenepa ovyo.

Matataizo yao ni
1) kuonekana mzee ungali kijana,
2) kupumua kwa shida na
3) kukoroma ovyo

Acheni kula kula ovyo wazee, unene kupitiliza hasa katika umri mdogo ni hatari kwa afya
Hamna wizi wenye baraka
 
  • Thanks
Reactions: Okk
Back
Top Bottom