Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

Wanakula hovyo, Kila saa kwenye kiyoyozi , mazoezi hakuna hapo unategemea nn kama sio obesity
Samaleykum,

Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu kama kifutu sababu ya kula kula ovyo kisa pesa ipo, Mbona wale wengine ambao ni wa age hizo na wanapambana mtaani miili yao iko fresh tu,
kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kupenda kula kula kisha kunenepa ovyo.

Matataizo yao ni
1) kuonekana mzee ungali kijana,
2) kupumua kwa shida na
3) kukoroma ovyo

Acheni kula kula ovyo wazee, unene kupitiliza hasa katika umri mdogo ni hatari kwa afya
 
Back
Top Bottom