Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

Ongezea na kujamba hovyo
 
ukitaka kujua hakuna watu humo angalia ankara zao za mishahara yaani mtu analipwa 500k ana mke an watoto na ana kitambi pia, mashavu, katoa tako pia yaani changamoto za afya ya akili ziko nyingi sana
 
Kuna ka umri fulani kakifika kakitambi kanaanza kukuwinda, hata ule biskuti na soda kitambi hiki hapa...
Sasa imagine waliopo serikalini wanakula kodi za wananchi..

Walimu vipi ?
Mbona sijaona virambi vyao?

Lakini ukiona una wafanyakazi wanaonenepa ovyo ujue matumizi ya Akili ni kidogo sana.

Wanawaza muda wa kutoka au kupiga dili na sio kazi.

Wajapani, Wakorea , Wachina n.k. Akili ndio inakupa maisha . Huwezi kukuta mavitambi ya hovyo hovyo.
 
Ni matokeo ya kuridhika haraka na kujisahau kwamba maisha pia yana vipindi vya msimu wa masika(kupata) na kiangazi(kukosa) vyanzo vya mapato. Ukitaka kuamini ngoja kipindi cha mabadiliko ya msimu ndo utaelewa umri ukifika(kustaafu/kusimamishwa kazi)😎
 
Ni kweli,madogo wananenepa sio poa
halafu kila siku kutuuliza mbona mabro mko vile vile, nina kisa cha dogo mmoja tulienda nae ughaibuni mwezi tukawekwa apartment moja tunashare jiko, aisee dogo saa kumi na moja unasikia huko jikoni keshaliamsha, saa nne kaagiza tena, saa tisa anasema njaa kali, saa mbili usiku anamalizia, mvinyo usisema utafikiri vile vitu vinaisha, anahema kwa shida huyo
 
Hao hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…