Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
3,424
Reaction score
7,706
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji

Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's

👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni
u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto siku mzazi akitangulia?

👉Asilimia kubwa ya masikini wanazaa watoto wanne na kuendelea nini sababu? Ni ufahari, uzazi mzuri?,


Naomba kuwasilisha
 

Attachments

  • Screenshot_20241130_075342.jpg
    Screenshot_20241130_075342.jpg
    172 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241130_075539.jpg
    Screenshot_20241130_075539.jpg
    174.3 KB · Views: 4
Unamjua ELON MUSK wewe??

Watoto 12, duh! Ila mchizi amependa kulombana(Miafrica ndivyo ilivyo inawaza kulombana tu)

Unaambiwa jamaa kazaliwa hapo down town Pretoria (ukizaliwa Africa........)

Unaambiwa jamaa amenunua eneo kubwa anataka awakusanye wanawake wooote aliozaa nao wawe wanaishi pamoja(full kurogana)
 
Kana hauna kipato cha uhakika ukizaa wengi jua unazaa majambazi ya badae.
 
Kwanza kabisa Maskini huwa anawaza mambo matatu kula , ngono na kulala.

Hivyo starehe ya juu kabisa ya maskini ni UZINZI.(NGONO).

Tajiri huwa anawaza zaidi kutafuta na kulinda alichonacho MTU huyu sio rahisi ukamkuta anafikiria Sana NGONO japo anafanya .

Swala lingine umasikini huwa ni akili -hivyo maskini huzaa watoto wengi wakiamini watawasaidia baadae .

Ila tajiri huwa anaamini kitakachomsaidia baadae ni investment zake mbali mbali ambazo amezifanya .


Mfano -babu yangu alizaa watoto 17 Ila hakuna hata mmoja alimsaidia tofauti na mambo madogo madogo Kama kumpa bima ya Afya ya NHIF ambayo hata ukitaka kupima mwili mzima haifanyi Kazi .


Hivyo nachohitimisha ni kuwa wingi sio hoja tuangalie zaidi ubora

Maana kizazi cha babu yangu watoto wote 17 waliosoma kufika chuo kikuu ni mmoja tu kuna Mwalimu na Askari wengine 15 wote hali zao taabani

Unfortunately hadi watoto wao ni maskini wakutupwa utajiri pekee walionao ni Watoto.
Duh so kuna kaukweli watoto wengi wanaleta umasikini.?
 
Kuzaa sio kupata.
There are critical few and trivial many. (80/20 Rule)
 
Jiwe Alisema Ndugu Zangu Kama Unategemea Mnazi Mmoja Huli Ukashiba Hata Uzazi Utagoma
 
Duh so kuna kaukweli watoto wengi wanaleta umasikini.?

Kinachotokea ni ubora dhidi ya wingi mfano upo hivi .

Ingekuwa hao watoto 17 wamesoma wote na wanafanya Kazi zinazoleleweka basi wangekuwa na maisha mazuri kwao na Kwa wazazi wao.

Ila kati ya hao 17 wawili ndo wameajiriwa na sio ajira kubwa ni ualimu na upolisi.

Na hao 15 wengi wapo hivi walevi , wavuta bangi , wengine wajane wengine na wengine maisha yao hauwezi hata kuadithia.

Hawana elimu
Hawapo exposed
Hawana pesa wala biashara zilizo simama.

So unaweza kujifunza kitu hapo kuwa what matter most is quality versus quantities.
 
Naona Vijana mmeamua kutusimanga Wazee wenu

Bila kuwazaa 12 mnadhani tungepata hata watoto wa kuwa nao Leo

Maana kama mnavyojua zamani, hakukuwa na huduma za afya, kwahiyo vifo vya watoto kabla ya miaka 5 vilikuwa ni vingi, hapo bado wachawi hawajachukua wa kuwala nyama

Kwahiyo unakuta tulipata watoto 12 lakini waliobaki hai unakuta ni watoto 3 ama 2 🙌
 
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji

Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's

👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni
u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto siku mzazi akitangulia?

👉Asilimia kubwa ya masikini wanazaa watoto wanne na kuendelea nini sababu? Ni ufahari, uzazi mzuri?,


Naomba kuwasilisha
Masikini hana muda mwingi wa utafutaji wa kujikomboa kimaisha,yeye muda wake anautumia kunyanduana tu tofauti na mwenye ukwasi ambaye muda wake mwingi amewekeza kusaka fursa mpya
 
Kuzaa watoto wengi hakuleti umaskini na kuzaa watoto wachache hakuleti utajiri

Kinachotokea ni ile kanuni ya MAISHA kuwa wingi ambao hauna ubora ni sawa sawa na hamna

Ukizaa watoto wengi ukawapa Elimu ukawapa maarifa wakajitambua wakawa wazalishaji basi neno umaskini litabaki Kama msamiati.

Hivyo kuzaa sio tatizo endapo Una uwezo mzuri wa kuwaandalia mazingira bora watoto wako.

Kosa kubwa wanafanya watu ni kuzaa watoto ambao hauwezi kuwapambania na kuwalea vizuri that is hell
 
Back
Top Bottom