Waarabu ni kwa sababu ya dini wanakuwa na wake wengi na kuoa na kutalikiana kila mara.Hamna uhusiano: reference kwa waarabu
Duh so kuna kaukweli watoto wengi wanaleta umasikini.?Kwanza kabisa Maskini huwa anawaza mambo matatu kula , ngono na kulala.
Hivyo starehe ya juu kabisa ya maskini ni UZINZI.(NGONO).
Tajiri huwa anawaza zaidi kutafuta na kulinda alichonacho MTU huyu sio rahisi ukamkuta anafikiria Sana NGONO japo anafanya .
Swala lingine umasikini huwa ni akili -hivyo maskini huzaa watoto wengi wakiamini watawasaidia baadae .
Ila tajiri huwa anaamini kitakachomsaidia baadae ni investment zake mbali mbali ambazo amezifanya .
Mfano -babu yangu alizaa watoto 17 Ila hakuna hata mmoja alimsaidia tofauti na mambo madogo madogo Kama kumpa bima ya Afya ya NHIF ambayo hata ukitaka kupima mwili mzima haifanyi Kazi .
Hivyo nachohitimisha ni kuwa wingi sio hoja tuangalie zaidi ubora
Maana kizazi cha babu yangu watoto wote 17 waliosoma kufika chuo kikuu ni mmoja tu kuna Mwalimu na Askari wengine 15 wote hali zao taabani
Unfortunately hadi watoto wao ni maskini wakutupwa utajiri pekee walionao ni Watoto.
😀😀 Kila mtoto anakuja na sahani yake.Kana hauna kipato cha uhakika ukizaa wengi jua unazaa majambazi ya badae.
Duh so kuna kaukweli watoto wengi wanaleta umasikini.?
Masikini hana muda mwingi wa utafutaji wa kujikomboa kimaisha,yeye muda wake anautumia kunyanduana tu tofauti na mwenye ukwasi ambaye muda wake mwingi amewekeza kusaka fursa mpyaKwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji
Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's
👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni
u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto siku mzazi akitangulia?
👉Asilimia kubwa ya masikini wanazaa watoto wanne na kuendelea nini sababu? Ni ufahari, uzazi mzuri?,
Naomba kuwasilisha