Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza elewa maana ya maneno yanayotumika kwa vile yamebeba maudhui ya kiufundi. cc kwa maana ya cubic centimeter ambayo ni ukubwa wa cylinder kati ya pale piston inapokuwa mwisho chini B.D.C. (Bottom dead center) na T.D.C (Top dead center) ambamo ndilo eneo la kuchanganyia mafuta na hewa na kufanya mlipuko. hivyo katika mazingira ya kawaida, magari yanayotumia mafuta ya aina moja yenye ukubwa tofauti CC wa injini, tegemea ulaji wa mafuta uwe tofauti kufuatana na ukubwa, japo kuna mambo mengine yanayochangia vile vile kama vile Automatic na Manual drive, Electronic fuel injection na ile ya kawaida. Ukitaka kujua zaidi itabidi uingie darasani usome motor vehicle mechanics ili ujue zaidi.
Hata petrol ina return pipeGari ya diesel in return pipe ambayo hurudisha mafuta ya ziada ambayo hayakuingia kwenye combustion chamber lkn hili wataalam wanaweza wakaliweka vizuri zaidi
Unaijua calorific value? Ndo mana nimesema sielezei ili kukwepa watu kama nyinyiDiesel engine ni engine ambayo
inazalisha nguvu nyingi
ukilinganisha na pestrol engine
kwasababu ya utofauti wa carolific
value (hapa sielezei coz sitaki
matusi kutoka kwa watu wenye
uelewa mdogo)
mkuu hapo ni kama umechemka labda useme inazalisha torque kubwa but sio power in general coz power ni torque* rpm / 5252 always petrol inakuwa na nguvu kuliko petrol yake thou mi napenda diesel sana power at lower rpm twisting force nyingi kufanya overtaking za ajabu popote tofaut na petrol yake nk
Huko unakokaa mtafute mtu akuelezee properties za fuel.(diesel na petrol)Diesel engine ni engine ambayo
inazalisha nguvu nyingi
ukilinganisha na pestrol engine
kwasababu ya utofauti wa carolific
value (hapa sielezei coz sitaki
matusi kutoka kwa watu wenye
uelewa mdogo)
mkuu hapo ni kama umechemka labda useme inazalisha torque kubwa but sio power in general coz power ni torque* rpm / 5252 always petrol inakuwa na nguvu kuliko petrol yake thou mi napenda diesel sana power at lower rpm twisting force nyingi kufanya overtaking za ajabu popote tofaut na petrol yake nk
Funga tairi za baiskeli Mkuu,walah gari haitakula mafutahapo kwenye red, inakuwaje?
Nakukubali kwenye utaalamu wa magari, andiko lako lingependeza zaidi kama ungeweka disclaimer kwamba ili maradi plugs hazina matatizomkuu...tuchukulie gari za aina moja ila cc ndio tofauti tunaweza kuongelea vizuri ulaji wa mafuta....
kuna bmw 5 series, ipo ya cc2200[520i] na ipo ya cc2500[523i]
1. hizi cc ni cylinder capacity au displacement...yaani ya cc2500 itakuwa inaingiza hewa nyingi na mafuta mengi kwenye combustion chamber kuliko ya cc2000 hapa nazungumzia gari zisizo na turbo.
2.nguvu ya gari inatokana na mlipuko wa mafuta na hewa[oxygen]...mafuta+oxygen nyingi na nguvu ya gari inakuwa kubwa.
KWA HIO ILI KUPATA NGUVU KUBWA KWENYE ENGINE unahitaji mafuta+hewa nyingi kwahio unaongeza CC.
Kuna njia mbadala za kuongeza nguvu ya gari bila kuongeza cc na common ni TURBO CHARGER.
Unaweza kuwa na gari ya cc2000 bila TURBO NA ukawa na gari ya cc2000 YENYE TURBO...kwahio hapo cc ni sawa lakini YENYE TURBO inakuwa na nguvu sana kuliko isiyo na turbo...kwanini??? Kazi ya turbo ni kuingiza extra oxygen na fuel kwenye combustion chamber kwa maana hio gari ile ile ya cc2000 ukiifunga turbo charger itaingiza mafuta mengi na hewa nyingi kuliko ingine isiyo na charger.
?Kwahio kuongeza cc ni kuongeza nguvu kwenye gari ila unaweza kuongeza nguvu kwenye gari bila kuongeza cc kwa kuweka turbo...mfani ni subaru zina cc1600-2000 tu lakini zinakuwa na nguvu kuliko gari nyingi zenye cc2000 au zaidi.
Niongezee diesel na petrol kidogo...petrol inaungua haraka kuliko diesel kwahio gari ya diesel inakuwa nzito kidogo[za sasa hivi ni almost the same diesel/petrol]. kwa kujua hili mara nyingi utakuta gari ile ile ya petrol lets say jaguar x type 2000cc pacha wake wa diesel mara nyingi anakuwa na cc2200 ili kuiongezea nguvu kidogo iwe sawa na petrol
Sawa sawa. Ntakupigia unielekeze jinsi wewe ulivyofungaFunga tairi za baiskeli Mkuu,walah gari haitakula mafuta
This is too deep.Natamani kutoa jibu ila naogopa matusi coz watu wengi humu huamini kile wanachokiamini wanafikiri kila mtu ni kilaza juu ya hii fani
Wengi mmechangia vizuri ila mnakoroga kidogo kwenye cc
Jiulize hili swali
Je kiwango cha hewa kinachoingia kwenye cylinder kinaitwaje? Katika suction stroke vaccum inakuwa created na valve hufunguka na due to atmospheric pressure hewa ya nje hulazimisha kuingia ndani ya cylinder na hapo ndo kwenye hoja yangu ukiweza kugoogle hicho kitu utaelewa nn maana ya cc na uhusiano wake katika kutambua nguvu ya engine
Diesel engine ni engine ambayo inazalisha nguvu nyingi ukilinganisha na pestrol engine kwasababu ya utofauti wa carolific value (hapa sielezei coz sitaki matusi kutoka kwa watu wenye uelewa mdogo)
Ukija kwenye ignition temperature utagundua petrol inawahi kuwaka na huwai kuzimika wakati diesel huitaji joto jingi pia huchelewa kuzimika hivyo nguvu inayotolewa na diesel ni kubwa ukilinganisha na petrol, hapo ukifatilia vizuri utajua ni kwanini spark plug hutumika kwa petrol na sio diesel
Diesel engine hujitengenezea joto yenyewe kwa kucompress hewa jambo ambalo hufanya molecules ziwe zina zunguka na kufanya friction ya hyo hewa ndani ya cylinder na kuzalisha joto jingi ambalo linauwezo wa kuchoma diesel
Kwanini petrol hutumia spark plug? Jibu ni rahisi kuna kitu kinaitwa afterburning so endapo petrol itaachwa ijichome yenyewe hili tukio litakua linatokea mara kwa mara hali ambayo itapelekea kero kwa mtumiaji na zipo sababu nyingi pia unaweza kuongezea
Darasa huru kama hujaelewa au huamini sihiitaji matusi toa hoja na ntakuelewesha kwa ufasaha zaidi
By eng. Buzitata(not my name)
Ukiona gari zinatofautina engine kiasi hicho, most likely hiyo ya cc 1900 itakuwa ni ya Petrol na hiyo ya cc2700 itakuwa ni ya Diesel. Diesel ni ngumu kuwaka na haitoi moto mkali kama wa Petrol, so engine inabidi iwe kubwa ili kuweza kupata moto mkubwa wa kuzungusha engine.
Pia gari ya Diesel inaweza kuwa na engine kubwa isiyo na nguvu nyingi lakini ikawa na towing capacity kubwa, yani uwezo wa kubeba mizigo au kuvuta tela. Ndio maana gari ya diesel yenye engine kubwa unaweza ukaondokea gia namba mbili wakati gari ya petrol inakuhitaji uondokee na gear namba moja.
Gari ya Petrol inakula mafuta mengi kwa kuwa mafuta yote yanayoenda huchomwa. Nasikia gari ya diesel huwa inarudisha mafuta ili yaunguzwe raundi nyingine, sina uhakika na hili. Ngoja wataalam zaidi waje.