Kuna Ukweli gani juu ya mafuta na maji ya upako?

Ila Sasa tayari miili ipo katika life span, maana yake inazeeka na kuchoka kiasi cha kuhitajika kurudi mavumbini.
 
Kila anitafutae ataniona,watu tumekuwa wazito kutafuta Mungu anasema nini kwenye Neno lake watu tumekuwa wazito kutafuta kuyafanya Mapenzi ya Mungu,na hakika kama tukimtafuuta Mungu kwa bidii na kuwa hodari kuyaishi yale mapenzi yake mamlakani uwezawake na nguvu zake zitaishi ndani yako haitakuwa na stress ya kutafuta sijui mafuta maji sijui nn maana Mungu hufanya kazi ndani yako na huwa nawe wakati wote na mahala pote sasa ukishatambua hilo hautakuwa wa kawaida
 
MJINI hapa ukipata wajinga na wapumbavu wanaoweza kukuweka MJINI usiwaache kizembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni. Ninacho kiaminigi ni Mungu pekee yake hao manabii wapambane na hali zao tu
 
Umeshajifunga kwenye biblia halaf unasema uko logical...

Unaambiwa ulimwengu uliumbwa kwa siku 6 unaamin halaf unasema uko logical...

Geologicaly proven...kuna rocks zina zaid ya miaka bilion 2 hapa dunian...na unajua jins dunia ili evolve?...

Unahis Mungu alisema tu ..haya milima itokee..kama unaamin hvyo..bas mjadala nawew uishe sasa hiv...
 
Codes za kichawi zikoje?
 
Mtafute mtu mmoja anaitwa Musa Chesa google alikuwa akiwauzia misukule manabii na mitume washirikina Ili watende miujiza ya kufufua watu makanisani mwao Ili kujaza makanisa yao.
 
Toa ufafanuzi zaidi mkuu ili tuweze kuwadhibiti wachawi
Elimu nyingi zipo online siku hizi za mwisho elimu zote zipo wazi.
Mchawi hana akili.
Uchawi ni negative power wewe kuwa positive haukudhuru.Tumia mimea na madini yanayoblock negative power ikiwemo kupanda miti na maua yanayo punguza nguvu uchawi nyumbani kwako.Jiconnect direct na positive power ktk zile laws of nature.
Nguvu ni mbili Dunia hasi au chanja maamuzi anayo mwanadamu ajiconnect na nguvu ipi Ili itende Kazi
 
Aina gani ya miti na maua inayofukuza wachawi?
 
Aina gani ya miti na maua inayofukuza wachawi?
Ipo mingi ukiingia google elimu ni pana.
Kwa uchache kivumbasi,kitunguu saumu hivi upunguza/uondoa nguvu za kichawi.
Kunywa juice zake au tafuna majani au punje.Tangu nilipopata elimu ya kutafuna majani ya kivumbasi ushuhuda wa uhakika riziki pesa KILA siku sikosi nikikosa leo haipiti siku tatu napata,hata hapa kuna mtu kanipa elf 20 sikumuomba tumepiga story karidhika na huduma yangu kanitoa 20.Kuna mawe ukivaa mfano ya wa rozali au tashibihi yanablock nguvu ya uchawi.Kitunguu saumu ublock nguvu ya uchawi.Kivumbasi uondoa nuksi,mikosi na uvuta pesa na bahati,huu sio ushirikina ni uwezo ambao Mungu kaupa mimea Ili imsaidie mwanadamu thus kuna mimea ya dawa mingi upatikana mitaani japo uonekana ni magugu Mungu kaiweka iwasaidie wanadamu kujifungua dhidi ya nguvu za giza.
Mchawi utumia miti na kuna miti uharibu uchawi,ukosefu tu wa maarifa ndo upelekea watu kuumia
 
Asante mkuu. Bila kusahau maombi kwaJINA LA YESU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…