Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Mambo ya zamani sana hayo, unalolote unalofahamu kuhusu K factor? na unaposema kwamba ni kweli huwezi pata mtoto ni uongo hata kama rhesus factors haziko incompatible haimaanishi kwamba hatopata mtoto, complications zitatokea kwa ujauzito wa pili ambapo kinga ya mwili ya mama tiari ishakuwa activated.Ndio mkuu, Rhesus incompatibility. Nitakuja kueleza kwa mapana zaidi
Sio mtoto kuzaliwa na kufariki, Mama, damu zikichanganyikana tu wakati wa kujifungua damu ya mama itacoagulate, siku hizi hizo mambo zikitokea ni uzembe wa hali ya juu sababu tiari kuko na solution.Mwanamme akiwa na + na mwanamke ana - kupata mtoto wa kwanza uwezekano upo ila baada ya hapo wasahau aidha mimba kuharibika ikifika miezi mitatu au mtoto kuzaliwa tu na kufariki.
Mimi nina positive na wife ana negative kila mimba ikifika miezi saba mke anachoma chanjo inayoitwa ANT-D INJECTION. Gharama yake ni kuanzia laki moja na nusu hadi laki mbili kutegemeana na eneo lako lakin hizi injection kuna ambazo zinauzwa hadi laki tatu na anachoma mbili.
Ya kwanza ni mimba ikifikisha miezi saba na ya pili ni masaa 72 baada ya kujifungua.
Kwani bila kufanya hivyo sahau kuhusu kuwa na familia.
Mababu zetu huko Nyuma walizuia Kuoana Ndugu kwa ndugu au Watu wenye Damu moja na Sababu ikiwa Ni hizi..Haya mambo haya so mababu zetu uko nyuma.....au basiii
Asili ya mwanadam si walianza ndugu kwa ndugu kuongezeka/kuzaana......ata waarabu huona ndugu kwa ndugu mbona.Mababu zetu huko Nyuma walizuia Kuoana Ndugu kwa ndugu au Watu wenye Damu moja na Sababu ikiwa Ni hizi..
Sema walikuwa hawana Utaalamu mkubwa wao waliita ni laana ya Mizimu..
Genetically Speaking Ndugu kwa Ndugu Hufanya (Family breeding) hufanya Kuongezeka Kwa maradhi ila Cross breeding huongeza uwezo wa Kuimiri Maradhi..Asili ya mwanadam si walianza ndugu kwa ndugu kuongezeka/kuzaana......ata waarabu huona ndugu kwa ndugu mbona.
Nenda kapime DNA haraka sana alafu ukirudi wale watoto na huyo mama yao usiwadhuru mkuu.Mimi ni 0+ na wife 0- tuna watoto wawili au sio wangu?
Mimba ya kwanza alichoma pia au kuanzia ya pili ndo alianza hizo sindanoMwanamme akiwa na + na mwanamke ana - kupata mtoto wa kwanza uwezekano upo ila baada ya hapo wasahau aidha mimba kuharibika ikifika miezi mitatu au mtoto kuzaliwa tu na kufariki.
Mimi nina positive na wife ana negative kila mimba ikifika miezi saba mke anachoma chanjo inayoitwa ANT-D INJECTION. Gharama yake ni kuanzia laki moja na nusu hadi laki mbili kutegemeana na eneo lako lakin hizi injection kuna ambazo zinauzwa hadi laki tatu na anachoma mbili.
Ya kwanza ni mimba ikifikisha miezi saba na ya pili ni masaa 72 baada ya kujifungua.
Kwani bila kufanya hivyo sahau kuhusu kuwa na familia.
Wanaweza kuwa ni wako sometimes watoto wanaweza kuwa na Rh- ndio maana ku comfirm huwa mtoto anachukuliwa sample ya damu anapozaliwa tu kwa ajili ya ABO kuona kama ni Rh- au Rh+ ili imeadiate action ifanyikeMimi ni 0+ na wife 0- tuna watoto wawili au sio wangu?