Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

Hawa walishafanya mbususu kitege uchumi.
Mie nipo na mlenda vugu vugu tuu
 
Cha ajabu kumekuwa na rank za kupata penzi kama sehemu za kupata chakula anziai gengeni kwa mama lishe mpaka hotel ya nyota tano. Kuna penzi la bei ya chini, bei ya kati na bei ya juu kutokana na aina ya wanawake unaotaka penzi lao. Wengine ni high class mpaka milioni ndio upate penzi la demu huyo
 
Mchina atakuwa anakula mbususu ya mshangazi...sasa hao sii ndio wana vibamia pro max 🀣🀣🀣🀣
😹😹😹 We uliviona wapi?
 
Ukiacha oil kuna vingi vya kufanyia maintenance, kuna kubadili tairi hata kulipeleka car wash we vipi bwana..!! 😹😹😹

Umelikuta gari safi umelichafua halafu kuliosha hutaki..!! 🀣
Nilipeleke car wash gari la umma??
 
inategemeana na mlivyokubaliana
 
Huwa wanaangalia na aina ya mtu.

Kinachonisikitisha ni guts za wanaune wenzangu wakiombwa hela na wadada wanashindwa kuwakatalia, badala yake wanakuja kulia humu, utadhani muhusika ujumbe utamfikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…