Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Hayo mashindano ya Quran ni ya msingi kuliko mchezo wa mpira, ni jambo jema kuliko hata maadhimisho ya kitaifa yanayofanyika hapo.Takbiiiir

Binafsi ni mkatoliki kindaki ndaki lakini napingana na mtoa mada, huwezi kulinganisha mchezo na jambo jema linalomhusisha Mwenyezi Mungu na kuwaongoza watu ktk njia ya haki na unyoofu.
Tumsifu yesu kristo...
Kanisa la kisinodi.....
Mwana kondoo ameshinda...
Salam aleykum...
Mbona hujaweka "Bwana Asifiwe .......
 
Jiheshimu mkuu....
Wapo watu ambao Kwao Quran na Bible ni porojo kama porojo zingine.
Heshimu interest za watu, usidhani unavyofagilia dini kila mtu yupo hivyo.
Nani sasa ajiheshimu? Mimi au ninyi mnaoleta udini!!

الحمد الله: وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper
 
Ndio maana hawa watu hawaendelei mkuu,,,

Killboy na mlivyo wachache sasa mnatuletea shobo, je! Mngelikua wengi zaidi ya waislamu!!!! Bora mkaushe tu, waisilamu hamuwawezi.

Huu mwezi wametuandama sana hawa wagalatia na vithread vyao vya udini
Mpo wengi wewe na nani
 
Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR).

(Kingekuwa kitu muhimu kwa Taifa,basi nafasi ingekuwa kubwa kwenu. Ujue hakithaminiwi hakina thamani,ndio maana mupangiwa mupo mupo tu.

Huko mikiani hata unaemfikira kidogo afadhali kuliko wengine kumbe nae ni zezeta tu. Hilo la kutumia VAR tayari nalo mmeokoteza ni sifa?
 
TFF watabeba lawama katika ili ,tukumbuke wakati watu wanatoka uwanjani baada ya mashindano ya Qur'an,kuna mashabiki wa mpira watakua nje ,lazima watazidiwa Tu katika kusanyiko ilo la watu wengi uwanjani
 
Hivi hakuna venue inayoweza kubeba raia wote wataokuwa na shughuli ya Qur'an?
 
Ndio maana hawa watu hawaendelei mkuu,,,

Killboy na mlivyo wachache sasa mnatuletea shobo, je! Mngelikua wengi zaidi ya waislamu!!!! Bora mkaushe tu, waisilamu hamuwawezi.

Huu mwezi wametuandama sana hawa wagalatia na vithread vyao vya udini
Nyie hamjafunga wala nini..si kwa malumbano hayaa..afu unasemaje umefunga wkt unashindilia diko la kutosha ambalo unaeza kaa hata siku nne bila kula?
 
Ndio maana hawa watu hawaendelei mkuu,,,

Killboy na mlivyo wachache sasa mnatuletea shobo, je! Mngelikua wengi zaidi ya waislamu!!!! Bora mkaushe tu, waisilamu hamuwawezi.

Huu mwezi wametuandama sana hawa wagalatia na vithread vyao vya udini
Nyie mmeendelea kwa lipi?
 
Nani sasa ajiheshimu? Mimi au ninyi mnaoleta udini!!

الحمد الله: وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

And never will the Jews or the Christians approve of you until you follow their religion. Say, “Indeed, the guidance of Allah is the [only] guidance.” If you were to follow their desires after what has come to you of knowledge, you would have against Allah no protector or helper
Nikwambie tu ....
Sijasoma
 
UTABIRI WA HALI YA HEWA DAR ES SALAAM MVUA NA NGURUMO ZA RADI

Hali ya hewa www.meteo.go.tz kwa muda wa masaa 24 toka saa 3 usiku tarehe 16 April 2022 mpaka 3 usiku 17 April 2022

Wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari hasa maeneo ya pwani kuzunguka mkoa wa Dar es Salaam na visiwa vya Zanzibar, mawimbi makubwa na upepo wa kasi ya ... fuatilia kwa kubofya source : Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania : Mwanzo |Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

N.B
Usahihi wa utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA ni upo kwa asilimia 95.3 %
 
SHEIKH - "HAKUNA MUINGILIANO WA MASHINDANO YA QURAAN NA MECHI YA SIMBA"

11 April 2022

CAF, TFF, SIMBA, ALHIKIMA WOTE WAKUBALIANA MASHINDANO YA QURAN NA MPIRA VITAFANYIKA SIKU MOJA TAREHE 17 APRIL 2022

MECHI ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Orlando Pirates ya Afrika Kusini itafanyika sambamba na mashindano ya Quran Jumapili ijayo.

Hayo yamesemwa na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Ahmed Ally katika mkutano wake na Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es Salaam.

“Maswali yamekuwa mengi kuhusu Uwanja wa Mkapa sababu siku ya mchezo dhidi ya Orlando Pirates kutakuwa na mashindano makubwa ya Quran, na inafahamika kwamba uwanja unatakiwa kuwa wazi kwa masaa 72 kabla ya mchezo,”.

“Baada ya mazungumzo baina ya Simba, CAF, TFF na waandaaji wa mashindano ya Quran tumekubaliana matukio yote yatafanyika ndani ya siku hiyo moja na CAF wamebariki hilo,” amesema Ahmed Ally.

Mechi hiyo inatarajiwa kuanza Saa 1:00 usiku.
 
Back
Top Bottom