Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Hayo mashindano ya Quran ni ya msingi kuliko mchezo wa mpira, ni jambo jema kuliko hata maadhimisho ya kitaifa yanayofanyika hapo.Takbiiiir

Binafsi ni mkatoliki kindaki ndaki lakini napingana na mtoa mada, huwezi kulinganisha mchezo na jambo jema linalomhusisha Mwenyezi Mungu na kuwaongoza watu ktk njia ya haki na unyoofu.
Tumsifu yesu kristo...
Kanisa la kisinodi.....
Mwana kondoo ameshinda...
Salam aleykum...
Basi wafanyie msikitini au msikiti ambao una eneo kubwa la wazi ,au wangeomba hata ufanyike Azam complex au kwa Bibi
 
Basi wafanyie msikitini au msikiti ambao una eneo kubwa la wazi ,au wangeomba hata ufanyike Azam complex au kwa Bibi
Mwaka ulioisha walifanya kwa bibi na lupaso sasa Azam complex watatoshea ?
 
Hayo mashindano ya Quran ni ya msingi kuliko mchezo wa mpira, ni jambo jema kuliko hata maadhimisho ya kitaifa yanayofanyika hapo.Takbiiiir

Binafsi ni mkatoliki kindaki ndaki lakini napingana na mtoa mada, huwezi kulinganisha mchezo na jambo jema linalomhusisha Mwenyezi Mungu na kuwaongoza watu ktk njia ya haki na unyoofu.
Tumsifu yesu kristo...
Kanisa la kisinodi.....
Mwana kondoo ameshinda...
Salam aleykum...

Aisee
 
Mageti kufunguliwa saa 9

Lakini Uwanja ni kwa ajili ya Mpira,
Hata huko FIFA inajulikana ni uwanja wa mpira sio Dini..

Kwahiyo Busara hapo ingetumika walau yafanyike siku moja kabla au baada,

Lakini siku ya mechi hapa Kuna lawama zinaenda kutokea..

Takbiiir
 
Safi sana hii itawazuia utopolo kuweka majini yao pale uwanjani,maana mijini ikikutana na neno la MUNGU itakimbia tu........
Nimependa

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuna mtu kasema lisifanyike? Suala ni mahali linapofanyikia kwa siku hiyo sio mahali sahihi sababu hiyo sehemu kwanza ni kwa ajili ya michezo na siku hiyo kuna mchezo. Je utaunga mkono ikiamuliwa wakafanyie shuleni na masomo yaahilishwe?
Nimesema hivi tutafanya hapahapa LUPASO kwani wewe unasemaje,kama unaweza njoo unipige.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kisaikologia,nikm kuupa uwanja baraka ili amani navitu vibaya vilovyopo hapo viondoke au visiwepo kunapokua na matamasha yakidini mabaya au vitu vibaya haviwezi kaa. .mimi nimewaza in +ve way
 
Mashabiki 60000 ni wengi sana, mechi kama hizi wengi wanapenda kuingia kuanzia asbhi Sasa leo hii ukiwaambia waingie kuanzia saa 8 sidhani kama imekaa bizur
 
Back
Top Bottom