Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Ishu nyingine ni kuhusu mashabiki kuingia uwanjan.
Kama tunavojua kibongobongo hapa inavoakuaga mbinde kuingia kwenye mechi kubwa kwasababu ya wingi wa mashabiki.

Hayo masaa 5 yanatosha kweli kulimudu nyomi la mashabiki wa simba wanaotaka kuingia kucheki hiyo game??
 
Hayo mashindano yanakuwaga hapo miaka yote...Japo mimi siyafagilii mashindano yanayoendeshwa na huyu kishki...Labda ya huyu mama aisha sururu...

Kishki amekaa kisanii sanii sana...Na ndio maana Allaah kampa mtihani yamegongana na mechi...

Wakati wanapanga hayo mashindano...Caf walikuwa hawajapanga tarehe ya mechi ya simba ya robo fainali...Kwahiyo hapo kishki na uongozi wa uwanja hauna kosa...Caf ndio wameingilia ratiba ya uwanja...


Na kuna mpuuzi mmoja hapo juu...Eti waislam na wakristo wanazimiana kiki kama sijui monaizi na nani sijui...

Nikupe tu taarifa...Waislaam tunapopanga mambo yetu huwa hatuangalii wakristo wamepanga nini watasema nini...Hayatuhusu ya wakristo...Kuwa na akili ya kiutu uzima...
Kuna sehemu yoyote ndani ya Quran inayosema watu washindanishwe kukariri Quran? By the way ule ni uwanja wa michezo so michezo kwanza mengine baadae ni rahisi tu .Na pia kwa mtazamo wangu hayo mashindano hayatakuwa na ufanisi maana timu ya Orlando wana haki kuutumia uwanja huo kwa mazoezi asubuhi na naamini itakuwa saa 1-3 asubuhi , Hao wanaoshindania Quran watatumia masaa matatu na nusu kukamilisha kila kitu vizuri?

Heri waombe wapewe uwanja wa Uhuru
 
Usikariri, Ule sio uwanja wa mpira tu, pale kuna sehemu ya riadha pia lakini kuna sherehe za kumbukumbu za uhuru na muungano zinafanyikaga pale
Basi tuite uwanja wa michezo. Hizo sherehe za Uhuru hazikufanyika Kwa Mkapa, zilifanyika katika uwanja wake wa Uhuru
 
Basi tuite uwanja wa michezo. Hizo sherehe za Uhuru hazikufanyika Kwa Mkapa, zilifanyika katika uwanja wake wa Uhuru
Sikutaja uwanja wa mkapa wala uhuru bali nmesema hata sherehe za kumbukumbu ya uhuru zinafanyika uwanjani
 
Sikutaja uwanja wa mkapa wala uhuru bali nmesema hata sherehe za kumbukumbu ya uhuru zinafanyika uwanjani
From the context, mada yetu inazungumzia mashindano ya Quran, kwa hiyo unapotumia neno 'hata' unakuwa unamaanisha comparison ya tukio hilo la Uhuru na Quran. Anyway, hakuna haja ya ushindani, maana ni harakati zako za kujinasua baada ya kujulishwa kuwa sherehe za uhuru hazikufanyika hapo yanapofanyika mambo ya Quran 😁
 
Itakuwa salama! Kumbuka Majeshi wanatimba gwaride na Mabuti yao na bado inabaki Salama.

Kuhusu usafi uwanja una wafanyakazi wake wa kufanya usafi na maintanance hivyo mkwanja wameshapokea watafanya usafi.
Uwanja utafanyiwa usafi saa ngapi? mechi ina anza saa 1 kumbuka wanatakiwa watu elf 60 hao wa Quran watatumia mda gani kutoka then mashabiki wa mpira waingie kumbuka tickets nazo zina changamoto huu ni usumbufu wa kujitakia!
 
Hakuna ulazima ila hayo mashindano yameanza mda mrefu hata kabla ya hizo mechi za kimataifa na hayo mashindano walishapewa kibali hata kabla simba haijulikani itacheza lini na Orlando pirates kwa hyo wanayo haki ya mashindano kufanyika taifa na uzuri hilo swala ni rahisi sana kukubalika na hata CAF wangeweza kukubali kufanyika,

tuheshimaiane jamani hizi dini tumezikuta tu hakuna aliyechagua kuwa muislamu au mkristo tumerithi tu kutoka kwa wazazi wetu hvyo tusijitoe ufahamu kiasi hicho.

Hence shown.
Basi Simba ikacheze Chamazi
 
Ule sio uwanja wa mpira wa miguu tu, ule ni uwanja wa shughuli zote za kijamii, michezo na kisiasa pia ndio maana hata sherehe za uhuru zinafanyikia uwanjani
Point yangu ni kwamba kwa Uislamu mpira n haramu. Bc msifanye jambo lenu sehemu anapofanyika kitu cha haramu
 
Kama shughuli yao inaisha saa 7 sioni shida kwasababu kuna masaa matano mbele kufikia muda wa mchezo
Mechi kubwa watu huanza kuingia uwanjani saa4, kwann wasifanyie uwanja wa UHURU? kumbuka wakaujaza uwanja ngumu kuwatoa wote, hili suala busara tu ingetosha kuamua ila hawa ndugu mmh?
 
Wavaa makubaz mnajua kutamba sanaa na dini zilizoletwa na mashua...kwa hyo kujaza hao watu ndo kufika pepon?
🤣🤣🤣🤣🤣 Asante mkuu kwa kunichesha leo. Mimi sioni umuhimu wa hao wavaa makobaz kuwepo wakati viwanja vipo vingine level zao
 
Back
Top Bottom