Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?


Safi sana,,,nawasubiri wagalatia ambao hawakupenda iwe hivyo
 
Ndio maana hawa watu hawaendelei mkuu,,,

Killboy na mlivyo wachache sasa mnatuletea shobo, je! Mngelikua wengi zaidi ya waislamu!!!! Bora mkaushe tu, waisilamu hamuwawezi.

Huu mwezi wametuandama sana hawa wagalatia na vithread vyao vya udini
Udini utakuua
 
Msemaji wa Simba aliulizwa Kama ikitokea mtu akigoma kotoka ili aangalie mpira mtafanyaje? Hakuwa na jibu la moja kwa moja akasema wanaweza wakafanya namna ili aangalie mpira tu bure

Sasa wanangu wa dar Kama wameskia yale mahojiano hapo wanaingia asbh hii kwenye mashindano ya quiran hlf hawatoki
 
Watatoka tu usijali
 
Sheikh umeona waislam walivyoujaza uwanja?
 
Hio ni siasa, atapigwa mtu mpka achakae
 
Udini utakuua

Wewe na wenzio ndio wadini,,,,tokea ramadhani ianze ni mwendo wa kutushambulia

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Nadhani mashindano yameisha salama na Waislamu wamekuwa wastarabu Kabisa kutoka..
Inshallah hakuna usumbufu utatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…