Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

Hayo mashindano ya Quran ni ya msingi kuliko mchezo wa mpira, ni jambo jema kuliko hata maadhimisho ya kitaifa yanayofanyika hapo.Takbiiiir

Binafsi ni mkatoliki kindaki ndaki lakini napingana na mtoa mada, huwezi kulinganisha mchezo na jambo jema linalomhusisha Mwenyezi Mungu na kuwaongoza watu ktk njia ya haki na unyoofu.
Unakulaga kitimoto,nijibu
 
Yaani uwanja ni wa mpira wa miguu, halafu unaunga mkono kutumika kwa ajili ya mashindano ya Quran, badala ya mchezo wa mpira wa miguu!

Kwani hakuna maeneo rasmi ya kufanyia hayo mashindano? Mfano kwenye viwanja vya misikiti, ukumbi maalum uliokodiwa kwa shughuli hiyo! Kwa nini iwe tu kwenye viwanja vya mpira wa miguu?
Sijui ni wapi uliona ule ni maalum kwa mpira wa miguu.
Ule ni mult purpose hata sisi wakristo huwa tunafanyia shughuli pale
 
Sijui risk kwa kiswahili ni nini, lakini hapo kuna kujitafutia matatizo huku ukijua nini kina weza kutokea. Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom