Nilipenda iwe majibu sio umri maana kuna wazee wajinga piaSamahani ndugu..umri wako unaendana na ulichokiandika au umeandika kwa bahati mbaya?
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Kwanini hawana mamlaka?Punguza stress. Unataka upinzani wapambane na mafisadi wakati wapo nje ya mfumo. Serikali ya CCM iliyokalia yenye Takukuru, polisi, bunge na halmashauri zote na kuleta mawaziri unailamba miguu na kuisujudia, ila wapinzani ambao hawana mamlaka yoyote ya kiuamuzi ndio una hasira nao. Punguza unafiki.
Hili nalo unataka akueleweshe???Kwanini hawana mamlaka?
Vipi umekula Leo??Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Hakuna haja ya kuvifuta vyama hivyo vya upinzani ambavyo kwa mtizamo wako unaona ni dhaifu. Cha kufanya anzisha chama chako ambacho kitakuwa na nguvu zaidi ya vyama hivyo ambavyo automatically vitajifia vyenyewe kwa kuzidiwa uungwaji mkono na chama utakachokianzisha.Simple like that
Itawezekana vipi kifutwa wakati inahusiana na ambao wangeweza kuifuta?CCM ndiyo ifutwe kwa kuwa yenyewe ndiyo inafilisi nchi!!
Hakuna chama kinachoweza kukifuta kingine. Ila kwa hoja yako ya kufutwa ni CCM.Itawezekana vipi kifutwa wakati inahusiana na ambao wangeweza kuifuta?
Upinzani Kama wanashindwa/wameshindwa waruhusu damu mpya,hakuna kinachoshindikana ktk ulimwengu huu(endapo Kama Ni haki)Hakuna chama kinachoweza kukifuta kingine. Ila kwa hoja yako ya kufutwa ni CCM.
Hao wapinzani unaodhani ndiyo wafutwe hawajawahi kuongoza nchi hii, hivyo umaskini wetu, maradhi na ujinga unaoendelea kutamalaki kwenye jamii yetu watanzania, vimesababishwa na CCM na siyo wao.
Uwepo wa CCM kama chama cha Siasa kwenye mfumo huu wa vyama vingi vya siasa ni wa kughushi!! CCM IFUTWE!!
Anzisha chama kingine. Nani kakulazimisha uwe kwenye vyama vilivyopo unavyoona havifai kuwa vya upinzani. Kuna vyama zaidi ya 20 vimesajiliwa na wewe hujaona kinachokufaa, anzisha chako!!Upinzani Kama wanashindwa/wameshindwa waruhusu damu mpya,hakuna kinachoshindikana ktk ulimwengu huu(endapo Kama Ni haki)
CraziestKwanini hawana mamlaka?
Kwa unavyoona vyama vya upinzani viko sawa? Au vinatekeleza majukumu yake Kama inavyopaswa kuwa?Anzisha chama kingine. Nani kakulazimisha uwe kwenye vyama vilivyopo unavyoona havifai kuwa vya upinzani. Kuna vyama zaidi ya 20 vimesajiliwa na wewe hujaona kinachokufaa, anzisha chako!