econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwa sababu hawana mamlaka. Swali jingine. Mnaiacha Takukuru mnakuja kuwabeza upinzani eti hawapambani na ufisadi.Kwanini hawana mamlaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hawana mamlaka. Swali jingine. Mnaiacha Takukuru mnakuja kuwabeza upinzani eti hawapambani na ufisadi.Kwanini hawana mamlaka?
Haujajiuliza kwanini aliepita aliona upinzani hauna maana?
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Kwa vile umeshasema la kijinga hata sishangai kwa kuanzisha mada kama hii, maana kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wakeHabari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Kinachoshindikana nchi jirani unakiona??? Au nao ingebidi waitwishe mzigo takukuru ya kwao???Kwa sababu hawana mamlaka. Swali jingine. Mnaiacha Takukuru mnakuja kuwabeza upinzani eti hawapambani na ufisadi.
Unategemea vyombo ya dola? AhahYeye yuko wapi sasa, na mawazo yake hayo mfu ?!.
Ufisadi umefanywa na CAG amethibitisha lakini mwenye vyombo vya dola, vya uchunguzi na vya maamuzi. Hawataki hata kujadili. Lakini wewe mawazo yako ni wapinzani. Strange !!
kwahiyo hakuna chochote wanachoweza kufanya kama upinzani kupambania maslahi ya nchi kwasababu wapo nje ya mfumo? Mbona kula na wezi wanaweza? Kwenye kushirikiana na watesi wa watanganyika wanaweza ila kwenye kupambana nao wanakua nje ya mfumo? Sasa wana kazi gani na faida gani kuendelea kuwepo?Punguza stress. Unataka upinzani wapambane na mafisadi wakati wapo nje ya mfumo. Serikali ya CCM iliyokalia yenye Takukuru, polisi, bunge na halmashauri zote na kuleta mawaziri unailamba miguu na kuisujudia, ila wapinzani ambao hawana mamlaka yoyote ya kiuamuzi ndio una hasira nao. Punguza unafiki.
Kwasababu maccm walipora uchaguziKwanini hawana mamlaka?