Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ujualo usituletee ubaridi bwana weHaujajibu swali
na akafaHaujajiuliza kwanini aliepita aliona upinzani hauna maana?
Yeye yuko wapi sasa, na mawazo yake hayo mfu ?!.Haujajiuliza kwanini aliepita aliona upinzani hauna maana?
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Kwa unavyoona vyama vya upinzani viko sawa? Au vinatekeleza majukumu yake Kama inavyopaswa kuwa?
Haujajiuliza kwanini aliepita aliona upinzani hauna maana?
Tatizo la Tanzania ni CCM siyo vyama vya upinzani. Wewe anzisha chako!!Kwa unavyoona vyama vya upinzani viko sawa? Au vinatekeleza majukumu yake Kama inavyopaswa kuwa?
AKILI NDOGO HIYOHabari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga,
Mnahangaika nini kumjibu huyu? Ameishajihukumu mwenyewe kuwa ni wazo la kijinga!Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, ...................
Mara nyingi fikiri kwanza hadi ukomo wako wa kufikiri halafu uje jukwaani badala ya kukurupuka na wanajukwaa waendelee kukushangaaHabari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Huo mpango wa kuanzisha chama kingine cha siasa ili kuendana na matakwa ya CCM ni ya muda mrefu toka enzi za Magufuli, na mpango mkakati ilikuwa ni kuvihujumu vyama vya upinzani vilivyopo kwa nguvu ya dola, kisha mpitishe propaganda kuwa vyama vya upinzani ni dhaifu, ili mpandikize hicho chama chenu cha CCM.Kwa unavyoona vyama vya upinzani viko sawa? Au vinatekeleza majukumu yake Kama inavyopaswa kuwa?
Uliwahi kufanya nini cha maana Kwa upinzani ili tukuamini? Hata shule ya Msingi ulipinga nini shuleni Kwa faida ya wanafunzi wenzio?Habari wakuu, hamjambo?
Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi.
Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
Naamini unaujua ukweli, ila umeamua kwa makusudi yaliyo kamili kujizima dataKwa unavyoona vyama vya upinzani viko sawa? Au vinatekeleza majukumu yake Kama inavyopaswa kuwa?
Kupambana na UFISADI ni jukumu la kila mwananchu sio la vyama vya siasaHabari wakuu, hamjambo?