Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

Kwamba wapinzani ndio wamehusika na madudu yaliyoonekana katika ripoti ya CAG?
Hembu fafanua jinsi wapinzani wanavyozuia nchi kusonga mbele.
 
Wengine kama hawa hawawezi kuandika chochote humu mpaka wavute bangi hadi iwajae kabisa kichwani.

Very useless people.
 
AKILI NDOGO HIYO
 

Kwahiyo mmeshindwa kusonga mbele kwa ajili ya vyama vya upinzani vilivyopo? Kama mmeshindwa kusonga mbele kutokana na vyama unavyosema ni dhaifu, huoni kuwa nyie mtakuwa wadhaifu kuliko hivyo hivyo vyama unavyosema ni dhaifu?
 
Mara nyingi fikiri kwanza hadi ukomo wako wa kufikiri halafu uje jukwaani badala ya kukurupuka na wanajukwaa waendelee kukushangaa
 
Kwa unavyoona vyama vya upinzani viko sawa? Au vinatekeleza majukumu yake Kama inavyopaswa kuwa?
Huo mpango wa kuanzisha chama kingine cha siasa ili kuendana na matakwa ya CCM ni ya muda mrefu toka enzi za Magufuli, na mpango mkakati ilikuwa ni kuvihujumu vyama vya upinzani vilivyopo kwa nguvu ya dola, kisha mpitishe propaganda kuwa vyama vya upinzani ni dhaifu, ili mpandikize hicho chama chenu cha CCM.

Lengo la kutaka kuanzisha chama cha hivyo ni kutokana na CCM kupoteza ushawishi kwa umma, sasa inataka kurudi kwa mlango wa uani isifahamike ni CCM hiihii iliyopetaza mvuto.
 
Uliwahi kufanya nini cha maana Kwa upinzani ili tukuamini? Hata shule ya Msingi ulipinga nini shuleni Kwa faida ya wanafunzi wenzio?
 
Kupambana na UFISADI ni jukumu la kila mwananchu sio la vyama vya siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…