Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Watoto wa dada zangu wa 2 walipangiwa na hawakwenda huko, na mkopo walipata. Nadhani iwe hiari .Kama kijana aliyemaliza A level anaweza kukwepa kadhia ya kuripoti JKT bila kukumbana na serious consequences kuhusu future yake sidhani kuna mtu angeripoti kambini. Ndiyo hoja yangu ya msingi.
Sasa pale JKT kuna elimu gani zaidi ya upotovu na ukengeufu tu? Basi mpeleke mwanao wa kike akachakazwe na kit0mb0 au mwana wa kiume akafundishwe ushaga ndipo utaelewa.Kwa hiyo wewe unafikiri elimu ya darasani inatosha kwenye kumwendeleza kijana? Elimu ni zaidi ya makaratasi
Ukirudi mtaani utakuwa unajiokotea fedha tu maisha yanasonga au unataka kusema nini mkuu?Ukiweza kuishi maisha ya jeshi na ukatoboa...![emoji125]basi mtaani hushindwi kitu
Kwenda JKT kunawaongezea vijana ukengeufu. Hakuna haja ya kuwapeleka watoto huko JKT kufundishwa ujinga.Watoto wa dada zangu wa 2 walipangiwa na hawakwenda huko, na mkopo walipata. Nadhani iwe hiari .
Kwahiyo unatamani watoto wetu waende kuharibiwa huko JKT? Mpeleke mwanao usitupangie.Huyo cocastic anapaswa kuwa sehemu salama, huwezi kuchafua jeshi hivi hivi tunashuhudia. Jeshi lina heshima yake na hadhi yake. Taswira ya jeshi inapaswa kulindwa
Cocastic hana maana hata kidogo, ana mdomo mchafu sana.
Cocastic umeyakanyagaa
Wewe unapata faida gani watoto wa watu wanapoenda kufundishwa ujinga JKT?Unasema mimi napata faida gani? Je yeye anapata faida gani kuchafua jeshi?
Huyo jamaa mpuuzi tu, mpuuze. Sijui yeye anapata faida gani watoto wa watu wnapoenda kuharibiwa huko JKT.Halafu wewe utapata faida gani? Kalichafua wapi?! Wakati yeye anaelezea changamoto zilizopo huko kambini! Huoni km analisaidia jeshi kubaini vitendo viovu vinavyotokea huko na wazazi wawape watoto tahadhali ya mambo yanayotokea ili wawe makini?!!
Kuwa mwanaume bhana sio kila kitu cha kupinga, mbona wengi wameongelea hiyo issue
Huyo jamaa huenda ni shoga na huo ushoga atakuwa kaupata huko JKT. Mpuuzeni.Unajua coca amesema alienda na alishuudia hivyo vitendo na member wengine tena wanaume wenzio nao wamesema hivyo vitendo vipo na vinafanyika. Kwanini na wao usiwaambie wafute?
Km unataka kukemea uovu usichague upande mmoja
Hata kwa wanaume hakufai mkuu. Hakuna chochote wanachofundishwa huko zaidi ya ujinga mtambuka.Wangefanya JKT iwe mandatory kwa wanaume tu kama nchi nyingi za Ulaya. Kwa wanawake iwe hiyari. Sababu huko kuna changamoto nyingi ambazo siyo rafiki kwa wasichana.
Haohao wanaotetea vijana waende JKT kujenga uzalendo mbona wao wamepita huko lakini ni MAFISADI wakubwa? Wanataka watoto wa wakulima waende kuharibiwa huko JKT wakati wao hawawapeleki waoto wao huko....watoto wao wanasoma Ulaya na Marekani. Waache kutupangia majanga, wapuuzi wakubwa!Nakubaliana na wewe aslimia 200 lakini nini madhara ya kukwepa huu ujinga? Wanatafuta nguvu kazi ya bure kwa kisingizio cha uzalendo hilo ni wazi kabisa.
Wakike ndiyo nini ambao wameshaenda walipungukiwa nini! Wote waende wakajifunze ukakamavu.Wa kiume sawa! Wa kike unaona sawa pia akienda?.
Ni kweli, ila mujibu nalo jeshi sasa!Ukiweza kuishi maisha ya jeshi na ukatoboa...![emoji125]basi mtaani hushindwi kitu
Pole sana cocastic, nlikuambia ukaleta ujuaji. Umeyataka mwenyewe
cocastic
Cute Wife
View attachment 2644028
Kuchongelea wapi? Mimi sio mwanajeshi. Mimi nimeleta taarifa tuKwahiyo umeenda kuchongelea?!!
hilo jeshi liache kazi zake likusikilizee wee?? DC umevurugwa vibayaaa poleeee@JKT Tanzania
Huyu anachafua jeshi, naamini kabisa jeshi litachukua hatua. Siamini hata kidogo jeshi linaweza kukaa kimya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee umevurugwaa, sasa mie nilipokosea wapiii?? Hebu nitoleee ashuo zako hapa.Huyo cocastic anapaswa kuwa sehemu salama, huwezi kuchafua jeshi hivi hivi tunashuhudia. Jeshi lina heshima yake na hadhi yake. Taswira ya jeshi inapaswa kulindwa
Cocastic hana maana hata kidogo, ana mdomo mchafu sana.
Cocastic umeyakanyagaa
Endelea na hizo dharau. Uzuri jeshi haliongei mara mbili mbilihilo jeshi liache kazi zake likusikilizee wee?? DC umevurugwa vibayaaa poleeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]