Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Think wisely, Miezi mi3 ni michache sana. Kama hauna cha msingi cha kufanya nyumbani na una afya yako njema, nenda huko. Ni kuzuri kuna faida utajua siku ya mwisho. pia kuna advantage ya cheti utakachopata kitakusaidia kwenye mbele huko.
Huko wapelekwe watoto wa masikini
 
hata ajira unatemwa wanachukuliwa wale waliojitolea miaka 2,3 wale wa miezi sijui 3 unapigwa chini
Bado watu hawaelewi hilo swala

Kwamba ukakae kule miezi 3 afu eti ndo umefit
 
Sisi ndyo tulikuwa intake ya kwanza kabisa toka hii ishu ya kwenda jkt irudishwe na serikali mwaka 2023, kipindi chetu ili uweze kwenda jkt ilikupaswa uwe umesoma katika zile special schools ( hii ilikuwa intake 1 ) na walioenda intake ya pili ilitakiwa uwe umepata one au two katika mtiani wako wa mwisho. Sasa baadhi baada ya historia hii fupi ni hivi toka nilipohitimu mafunzo haya ukiachilia mbali dhana ya ukakamavu na uzalendo kama faida ya kujiunga na jkt nje na hivyo hamna faida nyingine yeyote kwa mtu aliyeenda huko .

Ushauri wangu
- gharama zote ziwe za serikali kama ilivyokuwa kwetu sisi wakati tuenda huko mwaka 2013 . Na zisiwe za mzazi kama ilivyosasa ili kumpunguzia mzazi gharama zisizo na msingi ikumbukwe pindi kijana anaporudi huko humlazimu mzazi kuingia gharama nyingine kwa ajili ya maandalizi ya kujiunga na chuo


- kwenda huko isiwe lazma iwe hiari kwa wale watakao penda tu .

- lakini pia watakao enda huko pia wapewe nafasi ya kuomba kubaki huko huko na kuomba nafasi za mbali mbali za kazi kama zitatokea kama wenzeo waliojitolea , maana ikumbukwe kama mtu kakomaa mbaka kufika form six basi ni wazi pasipo na shaka mambo ya jeshi siyo kipaombele chake hivyo kumlazimisha aende huko na mwisho wa siku kumtunukia cheti ambacho hakita msaidia chochote katika maisha yake basi ni kumpotezea muda tu .
 
Nasikia wakufunzi huko wanawagonga sana watoto wa kike na kuwaambukiza UKIMWI!

Hivi ni wakufunzi ndio huwa wanatengeneza mazingira au watoto wa kike wenyewe ndio wanajirahisisha?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kuna kundi kubwa la wasiojua kusoma na kuandika wa zama hizo kuliko zama hizi?
Kusoma na kuandika ni sehemu ndogo sana ya kuondoa ujinga kichwani mwa binadam, ni sawa na watu wengi wa Afrika walivyoaminishwa kuwa kujua kingereza ni kuelimika, yaani wakiona mtu anakingeleza basi huyu ana elimu na hii ikaleta dharau kwa lugha za wazawa na kuziita jina moja baya sana "VERNACULAR" ....ushaona mwafrika akishindwa kuongea kingereza anaonekana boya....lakini mchina, mfaransa, mjapani, mkorea na wengineo ni kawaida....nikirudi kwenye hoja yako ....kwa sasa tuna wajinga wengi sana na wabaya kuliko wa zama zile hawa waliojificha katika usomi....lakini hawawezi kupambana na mazingira yao na kutatua changamoto zao....wa zam zile waliweza sana kupambana na mazingira yao katika huo unaouona kama ujinga.
 
Mimi nilichaguliwa lakini sikwenda, madhara niliyoyapata Ni kushindwa kuapply kazi Kama za ujamiaji nk. Ila Mimi pia Ni mkakamavu sikuona sababu ya kwenda JKT
Sizani kama Kuna kazi za uhamiaji wanataka chet Cha jkt Cha mujibu wa Sheria uwaga wanataka wale wakujitolea kabisa full miaka 3
 
Kuishi maisha ya kiaskari ni fursa moja kubwa sana katika maisha.

Huwezi kukaa KINDEZI , ni faida kubwa kwako na kwa Taifa. Unajijengea maarifa mengi ya Kiusalama.


Unakamilisha kila hitaji la kijana Msomi katika Taifa lake.
 
Tutolee huo uchuro

JKT ni jeshi imara na lenye weledi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilipita kwa Mujibu.
Wee DC uchwaraaa.

Jeshi imara LA kina Afande Rama au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilipita kwa Mujibu.
Wee DC uchwaraaa.

Jeshi imara LA kina Afande Rama au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umechafua sana watu ukaona hujachoka, umeanza kuchafua na jeshi. Kuna kitu naamini unakitafuta. Basi subiri
 
Habari zenu Wana JF,

Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level.

Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM, kwa mfano?

Lakini la ziada: kama mhusika hatafanya maombi ya mkopo kupitia HESLB ataathirika namna gani?

Asanteni kwa msaada.
Jkt Haina maana yoyote, ni kuchoshana TU mpaka naandika hapa Tiyari nishaexperience, ni upuuzi mtupu, heri ifutwe tuu, Mimi sitokaa nishauri mtu apoteze mda wa kwenda jkt.
 
Kila niktaka kukuacha naona unajaa kwenye 18 [emoji23][emoji23][emoji23]

Njoo wewe na huyo cocastic, nawafumua mishono yote hiyo tena situmii mundende

Kwa iko kibamia chako kilicholendemuka kibaya km cha pig [emoji1787][emoji1787]
 
Watoto wa siku hizi mayai sana, waende huko wakalime wawe wakakamavu
 
Back
Top Bottom