Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

[emoji28][emoji28][emoji28], we ngoja DC uchwara tu huyu,

Acha nione hii weeknd,
Kuna clip nlisikia kuna dada analalamika,kuwa huko wanatandikwa sana [emoji1]
Ukijifanya hutaki wanakupa adhabu mpaka mwenyewe unawalegezea

Ova
 
Kuna clip nlisikia kuna dada analalamika,kuwa huko wanatandikwa sana [emoji1]
Ukijifanya hutaki wanakupa adhabu mpaka mwenyewe unawalegezea

Ova
πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Acha wapelekewe moto tu, maana wengi hawajielewi na full viburi nasemaje

Gono na ukimwi uendelee kutembezwa tu, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Kwani walilazimishwa kuenda huko πŸ˜πŸ˜›πŸ˜›
 
Muwashie moto hadi akimbie humu [emoji28][emoji28]
Nikimbie jf? Nimeijua Jf 2008, nipo second year UD. nikajiunga 2009 naweka modem kwenye laptop naunga net naingia jf. Nikaipotezea, baadae sana nikajiunga tena
huyo 2008 muulize alikuwa wapi, kama sio analamba kamasi
 
Huyo kantri nilimuonya aache kukutukana, naona haelewi ntamuwashia thread za kumdhalilisha, we ngoja.

Jamaa kila thread ana ropoka ropoka cute wife hivi mara vile, asee mi ananiboa sana,

Kuchapiwa kumem fanya aweuke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka kupigana vita sio yako? Huyo cute wife amenitangaza mimi ni adui yake wa kudumu bila sababu zozote, ananionea sana Ila watu hamuoni
 
JKT kupoteza muda tu na kutesa vijana wetu wameshachoka na mitihani hata hawajapumzika waend tena kulima huko na kukimbiakimbia, hao wa kujitolea tu hawawaajiri wanazeekea makambini na kurejea mitaani.
Binafsi sioni faida ya kwenda huko, labda kama una ndoto na jeshi unaweza kwenda ukapata connection otherwise piga chini, chuo utaenda tu.

Kifupi JKT ni kambi rasmi za mateso zilizowekwa kwa mujibu wa sheria. Huko kuna kila aina ya uchafu.

Lakini Kuacha kwenda ni kinyume cha sheria na sijui adhabu yake au consequences zake kwako zitakuwa zipi.
 
Nawashangaa sana wanaosema jkt ni kupoteza muda, je mwanafunzi akibaki nyumbani ana kitu chochote muhimu cha kufanya?? Ni familia chache tu ambazo zinawapeleka hata short course za computer watoto wao katika huo muda, Na ni wanafunzi wachache wanaojishughulisha na uzalishaji mali katika muda huo.
Asilimia kubwa wengi huwa ni wazurulaji tu mtaani na familia ikijitahid sana itampa nauli akatembelee ndugu zake.
Je huko sio kupoteza muda napo kama hafanyi shughuli za msingi??
Tatizo mnaweka matarajio makubwa kua kwenda jkt kutakupatia ajira,hapana.
Kama mwanafunzi ana jambo la msingi analofanya nyumbani ni heri aende.
Wewe ulienda na kipi Cha ziada ulichopata?
 
Nikimbie jf? Nimeijua Jf 2008, nipo second year UD. nikajiunga 2009 naweka modem kwenye laptop naunga net naingia jf. Nikaipotezea, baadae sana nikajiunga tena
huyo 2008 muulize alikuwa wapi, kama sio analamba kamasi

Tupe ID yako ya 2009 tuione
 
Unataka kupigana vita sio yako? Huyo cute wife amenitangaza mimi ni adui yake wa kudumu bila sababu zozote, ananionea sana Ila watu hamuoni
Ww ndo ulimuanza mkuu, nakumbuka vizuri kwenye ile thread yake ya mzungu

We tulia dawa ikuingie maana unajikuta mvuta bangi sasa, sisi wengin bangi ni chakula kwetu kuwa makini

Nikianza mapigo yangu hutopenda, na nilikuonya mkuu, we endelea kumtukana nimekaa πŸ‘‰πŸ‘‰
 
Unataka kupigana vita sio yako? Huyo cute wife amenitangaza mimi ni adui yake wa kudumu bila sababu zozote, ananionea sana Ila watu hamuoni

Wewe paka mapepe nikuonee?! Unajua Kantri wewe ni zaidi ya kichaa [emoji1787][emoji1787]

Km uliweza kupost papa la mkeo ulilomnyoa vuzi ndio nikuonee wewe shindikana?
 
Ww ndo ulimuanza mkuu, nakumbuka vizuri kwenye ile thread yake ya mzungu

We tulia dawa ikuingie maana unajikuta mvuta bangi sasa, sisi wengin bangi ni chakula kwetu kuwa makini

Nikianza mapigo yangu hutopenda, na nilikuonya mkuu, we endelea kumtukana nimekaa [emoji117][emoji117]

Woyoooooooooooo aya njoo wewe chizi fresh Countrywide uje unyweshwe dawa zako [emoji1787]
 
Habari zenu Wana JF,

Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level.

Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM, kwa mfano?

Lakini la ziada: kama mhusika hatafanya maombi ya mkopo kupitia HESLB ataathirika namna gani?

Asanteni kwa msaada.
Kwa badae ili uajiriwe hasa kwenye nafasi serekali I lazima itakua ni mojawapo ya kigezo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwa badae ili uajiriwe hasa kwenye nafasi serekali I lazima itakua ni mojawapo ya kigezo

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Sio kweli sababu wanachukua mostly wenye div 1&2 na waliopitia advanced level vp kuhusu ambao serikali iliwachagua kwenye vyuo vya kati moja kwa moja
 
Hata ingekua na madhara gani kweny ajira, mtoto au ndugu yangu wa kike hawezi kwenda JKT, wakiume kama ana afya na ye mwenyewe karidhia anaweza akaenda
Nakubaluana nawe, mimi nilienda mwaka mmoja enzi zile, watoto wa kike walikuwa wanapata tabu sana, hasa afande akikutaka utateseka!
 
Back
Top Bottom