YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
π π π , we ngoja DC uchwara tu huyu,Muwashie moto hadi akimbie humu [emoji28][emoji28]
Acha nione hii weeknd,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π , we ngoja DC uchwara tu huyu,Muwashie moto hadi akimbie humu [emoji28][emoji28]
Kuna clip nlisikia kuna dada analalamika,kuwa huko wanatandikwa sana [emoji1][emoji28][emoji28][emoji28], we ngoja DC uchwara tu huyu,
Acha nione hii weeknd,
π π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π π π π π π πKuna clip nlisikia kuna dada analalamika,kuwa huko wanatandikwa sana [emoji1]
Ukijifanya hutaki wanakupa adhabu mpaka mwenyewe unawalegezea
Ova
Nikimbie jf? Nimeijua Jf 2008, nipo second year UD. nikajiunga 2009 naweka modem kwenye laptop naunga net naingia jf. Nikaipotezea, baadae sana nikajiunga tenaMuwashie moto hadi akimbie humu [emoji28][emoji28]
Unataka kupigana vita sio yako? Huyo cute wife amenitangaza mimi ni adui yake wa kudumu bila sababu zozote, ananionea sana Ila watu hamuoniHuyo kantri nilimuonya aache kukutukana, naona haelewi ntamuwashia thread za kumdhalilisha, we ngoja.
Jamaa kila thread ana ropoka ropoka cute wife hivi mara vile, asee mi ananiboa sana,
Kuchapiwa kumem fanya aweuke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JKT kupoteza muda tu na kutesa vijana wetu wameshachoka na mitihani hata hawajapumzika waend tena kulima huko na kukimbiakimbia, hao wa kujitolea tu hawawaajiri wanazeekea makambini na kurejea mitaani.
Binafsi sioni faida ya kwenda huko, labda kama una ndoto na jeshi unaweza kwenda ukapata connection otherwise piga chini, chuo utaenda tu.
Wewe ulienda na kipi Cha ziada ulichopata?Nawashangaa sana wanaosema jkt ni kupoteza muda, je mwanafunzi akibaki nyumbani ana kitu chochote muhimu cha kufanya?? Ni familia chache tu ambazo zinawapeleka hata short course za computer watoto wao katika huo muda, Na ni wanafunzi wachache wanaojishughulisha na uzalishaji mali katika muda huo.
Asilimia kubwa wengi huwa ni wazurulaji tu mtaani na familia ikijitahid sana itampa nauli akatembelee ndugu zake.
Je huko sio kupoteza muda napo kama hafanyi shughuli za msingi??
Tatizo mnaweka matarajio makubwa kua kwenda jkt kutakupatia ajira,hapana.
Kama mwanafunzi ana jambo la msingi analofanya nyumbani ni heri aende.
Nikimbie jf? Nimeijua Jf 2008, nipo second year UD. nikajiunga 2009 naweka modem kwenye laptop naunga net naingia jf. Nikaipotezea, baadae sana nikajiunga tena
huyo 2008 muulize alikuwa wapi, kama sio analamba kamasi
Ww ndo ulimuanza mkuu, nakumbuka vizuri kwenye ile thread yake ya mzunguUnataka kupigana vita sio yako? Huyo cute wife amenitangaza mimi ni adui yake wa kudumu bila sababu zozote, ananionea sana Ila watu hamuoni
Unataka kupigana vita sio yako? Huyo cute wife amenitangaza mimi ni adui yake wa kudumu bila sababu zozote, ananionea sana Ila watu hamuoni
Ww ndo ulimuanza mkuu, nakumbuka vizuri kwenye ile thread yake ya mzungu
We tulia dawa ikuingie maana unajikuta mvuta bangi sasa, sisi wengin bangi ni chakula kwetu kuwa makini
Nikianza mapigo yangu hutopenda, na nilikuonya mkuu, we endelea kumtukana nimekaa [emoji117][emoji117]
Ila kama unashida ya ajira njoo bobo kuna mchongo nasikilizia hapaBado hata sijapata ajira, afu sio kila ajira inahitaji cheti cha JKT, labda kwenye taasisi za ulinzi na usalama.
Kwa badae ili uajiriwe hasa kwenye nafasi serekali I lazima itakua ni mojawapo ya kigezoHabari zenu Wana JF,
Naomba msaada kufahamu madhara ya kuacha kuripoti wito wa kujiunga na JKT kwa wale waliomaliza A level.
Je, cheti cha kumaliza mafunzo ya JKT huwa kinahitajika kwa ambaye anataka kufanya maombi vyuo vikuu vya Serikali kama UDSM, Tanzania Institute of Accountancy na IFM, kwa mfano?
Lakini la ziada: kama mhusika hatafanya maombi ya mkopo kupitia HESLB ataathirika namna gani?
Asanteni kwa msaada.
Basi sawaa nakujiaa.Ila kama unashida ya ajira njoo bobo kuna mchongo nasikilizia hapa
Sio kweli sababu wanachukua mostly wenye div 1&2 na waliopitia advanced level vp kuhusu ambao serikali iliwachagua kwenye vyuo vya kati moja kwa mojaKwa badae ili uajiriwe hasa kwenye nafasi serekali I lazima itakua ni mojawapo ya kigezo
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nakubaluana nawe, mimi nilienda mwaka mmoja enzi zile, watoto wa kike walikuwa wanapata tabu sana, hasa afande akikutaka utateseka!Hata ingekua na madhara gani kweny ajira, mtoto au ndugu yangu wa kike hawezi kwenda JKT, wakiume kama ana afya na ye mwenyewe karidhia anaweza akaenda