Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

haya sasa; utabiri wako umekamilika nusu kuhusu ushindi wa Simba, ngoje tusubiri nusi nyingine hapo kesho wakati Yanga ikiingia dimbani.
 
Kijana wa Rage umeukimbia Uzi, kimoja Cha kuku kimekulaza Chali🤣🤣🤣
 
Maelezo meeeengi mnaishia kuwekwa cha mbunge
 
Wewe sio mungu
 
Daaah!! Sawa bwana. Kumbuka hayo ni maoni tu jamaa yangu na SIKUKUTUKANA
Ni maoni ndiyo lakini ulitumia lugha za kejeli Kwa timu ya yanga na ukajifanya mungu mtu unayejua yote yajayo ndo maana uliongea kwa kusisitiza na nilipojaribu kukusahuri kwamba huo ni mpira unadunda uwe na heshima nao Bado ulishipaza shigo lako.
 
Sawa tuonane saa tano usiku tu leo.

Angalizo:
Tusiweke visingizio baada ya mechi. Mara refa , mara swaumu, mara hiki na kile.
Umekuwa mpole inawezekana hata daku hujala,haya andaa jezi yako ya Masandawana maana wiki zote mliikamia mechi ya Yanga mtazani yenu,mkasahau mechi yenu.

Ila sizani kama mtakuwa mmeshangaa kwani nyie ni wazee wa robo Mwakarobo, kilicho tokea leo mlikitegemea.
 
Kabla ya mechi,ulijipa uhakika wa asilimia mia.

NIKUAMBIE TU KUWA SIMBA ANASHINDA LEO NA MAMELOD ANASHINDA KESHO.

NAJUA INAKUUMA NDIO MAANA MAKASIRIKO NI MENGI.

Baada ya kunyooshwa umekuwa mpole,eti maoni........ tatizo lenu mmeanza kuupenda mpira bila kuujua mpira.

Daaah!! Sawa bwana. Kumbuka hayo ni maoni tu jamaa yangu na SIKUKUTUKANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…