Kuna uwezekano mkubwa sana Simba kushinda. Yanga ni mtihani

Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani.
1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali.
2. Wachezaji wa Simba wameonyesha wanajiamini kuifunga Al Ahly. Hili ni jambo mujimu sana katika mapambano
3. Viongozi wa Simba wana amini timu yao inaweza kuitoa Al Ahly
4. Mashabiki wa Simba safari hii wanaonekana kujiamini zaidi na kuipa nguvu timu yao. Hili ni jambo kubwa sana psychologically.
5. Al Ahly wanaonekana kuihofia Simba.

Kwa upande wa Yanga ni hali tofauti kwasababu kuanzia wachezaji , Mashabiki na viongozi wanaonekana kuwa na hofu kucheza na Mamelod. Tayari psychologically Mamelod sundown wameshashinda game zote mbili tena kwa idadi kubwa ya magoli. Yanga kuanzia mashabiki na viongozi wanaonekana wanyonge sana. Hata kwa wachezaji wa Yanga inaonyesha kuihofia sana Mamelod na ndio maana baadhi ya wachezaji wao wameona wajipe injury ili kuikwepa mechi na kukwepa lawama.

La mwisho ambalo limemaliza confidence kwa Yanga ni propaganda zilizokuwa zinatolewa na mashabiki wa Simba kuizungumzia game ya Yanga na kuiogopesha zaidi Yanga. Ikumbukwe mechi ya Simba Vs Al Ahly haizungumzwi sana kama ya Yanga Vs Mamelod. Na kwa hili hakika propaganda zimeshafanikiwa kuidhoofisha Yanga na ITAFUNGWA.

Yanga hawajifunzi ku counter propaganda, kipindi kile waliwekewa kibegi cha jezi ya Simba hadi mlima Kilimanjaro nao wakaenda na beat ya kibegi wakasahau mambo yao. Sasa leo hii wameingizwa kwenye beat za propaganda kwenye social media na tayari wamekuwa wanyonge na kuwapa confidence Mamelod.

Simba wapo vizuri sana kwenye psychological warfare
Wacha wee.
 
Kibu Denis na Inonga wametuangusha
Bado haujaongea
FB_IMG_1711756511496.jpg
 
Ni maoni ndiyo lakini ulitumia lugha za kejeli Kwa timu ya yanga na ukajifanya mungu mtu unayejua yote yajayo ndo maana uliongea kwa kusisitiza na nilipojaribu kukusahuri kwamba huo ni mpira unadunda uwe na heshima nao Bado ulishipaza shigo lako.
Ila unajua mimi ni mkubwa sana kwako nikikuachia laana huchomoki.

Niombe msamaha kabla Yesu hajafufuka kesho
 
Sisi: Andaeni Timu yenu
Wao: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanga Kapangiwa Mamelodi
Sisi: Jamani andaeni Timu Yenu
Wao: ubuthu-botho
Sisi: Jamani angalieni
Wao:Yanga Wamepangiwa Mamelodi
Sisi: Andaeni Timu yenu
Wao: Sisi tunawamudu hawa tushacheza nao Sana.
Sisi: Haya Bhana.[emoji23][emoji23]
 
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa nyumbani.
1. Inaonyesha wachezaji wao wamedhamiria sana safari hii kufika nusu fainali.
2. Wachezaji wa Simba wameonyesha wanajiamini kuifunga Al Ahly. Hili ni jambo mujimu sana katika mapambano
3. Viongozi wa Simba wana amini timu yao inaweza kuitoa Al Ahly
4. Mashabiki wa Simba safari hii wanaonekana kujiamini zaidi na kuipa nguvu timu yao. Hili ni jambo kubwa sana psychologically.
5. Al Ahly wanaonekana kuihofia Simba.

Kwa upande wa Yanga ni hali tofauti kwasababu kuanzia wachezaji , Mashabiki na viongozi wanaonekana kuwa na hofu kucheza na Mamelod. Tayari psychologically Mamelod sundown wameshashinda game zote mbili tena kwa idadi kubwa ya magoli. Yanga kuanzia mashabiki na viongozi wanaonekana wanyonge sana. Hata kwa wachezaji wa Yanga inaonyesha kuihofia sana Mamelod na ndio maana baadhi ya wachezaji wao wameona wajipe injury ili kuikwepa mechi na kukwepa lawama.

La mwisho ambalo limemaliza confidence kwa Yanga ni propaganda zilizokuwa zinatolewa na mashabiki wa Simba kuizungumzia game ya Yanga na kuiogopesha zaidi Yanga. Ikumbukwe mechi ya Simba Vs Al Ahly haizungumzwi sana kama ya Yanga Vs Mamelod. Na kwa hili hakika propaganda zimeshafanikiwa kuidhoofisha Yanga na ITAFUNGWA.

Yanga hawajifunzi ku counter propaganda, kipindi kile waliwekewa kibegi cha jezi ya Simba hadi mlima Kilimanjaro nao wakaenda na beat ya kibegi wakasahau mambo yao. Sasa leo hii wameingizwa kwenye beat za propaganda kwenye social media na tayari wamekuwa wanyonge na kuwapa confidence Mamelod.

Simba wapo vizuri sana kwenye psychological warfare
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 hahahaha mafi matupu.
 
Back
Top Bottom