American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
Mtoa mada umeeleweka mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndicho nilichozungumza, inawezekana hujanielewa. Ahly, Zamalek na Pyramids zipo juu ya Simba katika nafasi, na zote ndizo zipo juu kwenye msimamo wa ligi Misri. Mmojawapo kati ya hao ataangukia nafasi ya tatu na kuipisha SimbaMkuu. Legeza kichwa
Hapo Misri champions league zinaenda timu Mbili tu , so timu ya tatu iliyo ndan ya top 10 ambayo itaenda shirikisho hiyo nafasi itachukuliwa na Simba , ...
Hata kwa Raja na wydad ni hivyo hivyo kwahiyo kivyovyote lazima tuanzie raundi ya piliKwa kuongezea, ni kwamba hapo ttunahesabu RS Berkane tu, maana hata Pyramids akichukua nafasi mbili za juu, maana yake atamshusha Zamalek au Al Ahly kucheza Shirikisho, ambao hao wote wapo juu yetu [emoji16]
12 Kwa ubora Africa nzima Ina point 28Kumbe Simba ni ya 15 huo ukubwa tuanao ambiwa upo wapi?
Ikiwa aliye wa 15 haonekani kuwa mkubwa, vipi yule wa 75?Kumbe Simba ni ya 15 huo ukubwa tuanao ambiwa upo wapi?
Ndio mnatuchanganya level ya Al Ahl kumbe back benchers tuIkiwa aliye wa 15 haonekani kuwa mkubwa, vipi yule wa 75?
Team kubwa haiwezi kua no 12 tuache uongo12 Kwa ubora Africa nzima Ina point 28
Ila inaweza kuwa ya 75 sio?Team kubwa haiwezi kua no 12 tuache uongo
kazi unayo,kuelimisha mtu mpumbavu unapoteza muda mkuu fanya mambo mengine.Ila inaweza kuwa ya 75 sio?
Ii nikweli embu assume ni matokeo ya shule unapeleka report nyumbani umekuwa wa 12 sasa wewe utasema ni mwanafunzi bora kweli simba ya kawaida sanaTeam kubwa haiwezi kua no 12 tuache uongo
Mpumbavu mama yako, alie lea toto jinga kama wewe unae amini team kufika robo finally ni kubwa hata pamba unayo cheza nayo ipo robo finally nayo ni kubwa?kazi unayo,kuelimisha mtu mpumbavu unapoteza muda mkuu fanya mambo mengine.
kama unaumia ichomoe alafu puliza ikipoa ipake mafuta alafu ikalie tena.Mpumbavu mama yako, alie lea toto jinga kama wewe unae amini team kufika robo finally ni kubwa hata pamba unayo cheza nayo ipo robo finally nayo ni kubwa?
Nitolee uchoko wako sina hizo pigo za kidwanzikama unaumia ichomoe alafu puliza ikipoa ipake mafuta alafu ikalie tena.