Kuna uwezekano mkubwa Simba kuanzia hatua ya pili Champion League msimu ujao

Kuna uwezekano mkubwa Simba kuanzia hatua ya pili Champion League msimu ujao

Mkuu. Legeza kichwa

Hapo Misri champions league zinaenda timu Mbili tu , so timu ya tatu iliyo ndan ya top 10 ambayo itaenda shirikisho hiyo nafasi itachukuliwa na Simba , ...
Ndicho nilichozungumza, inawezekana hujanielewa. Ahly, Zamalek na Pyramids zipo juu ya Simba katika nafasi, na zote ndizo zipo juu kwenye msimamo wa ligi Misri. Mmojawapo kati ya hao ataangukia nafasi ya tatu na kuipisha Simba
 
Kwa kuongezea, ni kwamba hapo ttunahesabu RS Berkane tu, maana hata Pyramids akichukua nafasi mbili za juu, maana yake atamshusha Zamalek au Al Ahly kucheza Shirikisho, ambao hao wote wapo juu yetu [emoji16]
Hata kwa Raja na wydad ni hivyo hivyo kwahiyo kivyovyote lazima tuanzie raundi ya pili
 
Kwani Manara amepatwa na nini mbona alikuwa na uelewa mzuri sana wa soka kiujumla hivi yeye kweli ni wa kuamini timu ambayo haijawahi kufika hata robo fainali tu ianze raundi ya pili?? ikiwa na point 0.5 tu za caf toka izaliwe
 
kazi unayo,kuelimisha mtu mpumbavu unapoteza muda mkuu fanya mambo mengine.
Mpumbavu mama yako, alie lea toto jinga kama wewe unae amini team kufika robo finally ni kubwa hata pamba unayo cheza nayo ipo robo finally nayo ni kubwa?
 
Mpumbavu mama yako, alie lea toto jinga kama wewe unae amini team kufika robo finally ni kubwa hata pamba unayo cheza nayo ipo robo finally nayo ni kubwa?
kama unaumia ichomoe alafu puliza ikipoa ipake mafuta alafu ikalie tena.
 
Back
Top Bottom