Tetesi: Kuna uwezekano mkubwa wa LOCKDOWN nchi nzima. Kama hujajiandaa fanya sasa

Status
Not open for further replies.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee ukisema ulikosea wala hutapungukiwa na kitu, just admit hili bango ni kama ule utabiri wako wa Simba vs Yanga, you won't lose a thing.
Kwanini unataka kunilazimisha ili kufurahisha genge lisilo na takwimu mitandaoni? Wote mko na simu zenu huko mliko hakuna hata mmoja mwenye data za covid Tanzania
Niletee current data KUWA TANZANIA HAKUNA COVID nitaomba radhi bila kupepesa macho


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka nitakupitia.. tukapige kura pamoja.. JJJJJJJ PPPPPPP MMMMMMM anza kuiota.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na wewe waletee current data kuwa kuwa kuna covid Tanzania.
 
Maji ya shingo.
Tuletee current Data KUWA TANZANIA KUNA COVID.
 
Dah! Utabiri mwingine bhana!!!!!
 
Hiyo sio kazi yangu wala lengo la hii mada

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuwaambia wengine waweke data kuwa hakuna covid 19 Tz ni kazi yao?! Lengo la mada yako ilikuwa kututahadharisha na ujio wa lockdown,kinyuma na maelezo ya wizara ya afya Tz, yaani wewe ulikuwa unajua hali ambayo inatukabili kinyume na wizara inavyodai. Ila muda umetueleza wizara walikuwa sahihi na wewe ulikuwa hujui usemacho. Waliofufua mada hii wanakuomba tu ukubali wakati unaandika hii mada ulifikiri unajua kumbe hujui na hujui kama hujui. Hamna ubaya kwenye hilo kwani wengi wetu tunachemkaga mambo mbalimbali kwenye maisha na jamii kwa jumla.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…