Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu wameugua ...mimi niliugua na majirani pia ila hakukuwa na vifoSiwezi kukupinga kutokana na neno UWEZEKANO, lakini nikuulize una ndugu au rafiki hata mmoja aliyeenda ardhini sababu ya mgonjwa hilo?
Sasa huo ni utopolo wakoHujiiti lakini mimi ninakuita hivyo, sawa?
Kwanini unataka kunilazimisha ili kufurahisha genge lisilo na takwimu mitandaoni? Wote mko na simu zenu huko mliko hakuna hata mmoja mwenye data za covid TanzaniaMzee ukisema ulikosea wala hutapungukiwa na kitu, just admit hili bango ni kama ule utabiri wako wa Simba vs Yanga, you won't lose a thing.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]Kaka nitakupitia.. tukapige kura pamoja.. JJJJJJJ PPPPPPP MMMMMMM anza kuiota.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wagombea wa ccm huwa wanatuambia Tuache Kutegemea Kuajiriwa Na Serikali, Tujitegemee Na Tujiajiri Wenyewe!! Wakati Wao Wanatuomba Kura Ili Tuwape Ajira Waajiriwe Na wananchi.
TUSAIDIANE MAWAZO HAPA VIJANA WENZANGU, HAPA WATU ZIMO KWELI VICHWANI MWAO ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na wewe waletee current data kuwa kuwa kuna covid Tanzania.Kwanini unataka kunilazimisha ili kufurahisha genge lisilo na takwimu mitandaoni? Wote mko na simu zenu huko mliko hakuna hata mmoja mwenye data za covid Tanzania
Niletee current data KUWA TANZANIA HAKUNA COVID nitaomba radhi bila kupepesa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya shingo.Kwanini unataka kunilazimisha ili kufurahisha genge lisilo na takwimu mitandaoni? Wote mko na simu zenu huko mliko hakuna hata mmoja mwenye data za covid Tanzania
Niletee current data KUWA TANZANIA HAKUNA COVID nitaomba radhi bila kupepesa macho
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo Extenal pale kituo cha vipimo ...pale ndio kuna habari zoteMkuu na wewe waletee current data kuwa kuwa kuna covid Tanzania.
Nimeamua kurudi CCM rasmiKaka nitakupitia.. tukapige kura pamoja.. JJJJJJJ PPPPPPP MMMMMMM anza kuiota.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji1437][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
Wewe lete kuonesha hakuna Covid TanzaniaMaji ya shingo.
Tuletee current Data KUWA TANZANIA KUNA COVID.
Sometimes si lazima kujibu kila kitu unajisumbua tu..
Dah! Utabiri mwingine bhana!!!!!Kwa hali inavyoendelea quarantine nchi nzima inakuja.. Inawezekana viongozi wamekubali ushauri na kijifunza toka kwa walioathirika kabla
Ni wazi muingiliano wa watu ndio kichokoo kikubwa cha kueneza virus wa corona.. Kusafiri, na kuhama sehemu moja kwenda nyingine.. Mizunguko ya siku nzima tunakutana na watu anuwai.
Toka kila sehemu.. Jioni tunarudi majumbani kwetu je tunakuwa tumesalimika kiasi gani?
Kukipambazuka tunaelekea makazini kwetu inawezekana kabisa wewe uko salama na umezingatia taratibu zote za kinga lakini je vipi jirani yako? Jana alipita wapi? Alikutana na nani? Je yuko salama? Je kazingatia tahadhari zote za kinga?
Muda unakimbia kwa kasi sana... Jiandae sasa, weka akiba ya chakula ndani, maji na kila chenye umuhimu... Tunaweza tusimalize wiki kabla hatujatangaziwa habari mbaya ya TOTAL LOCK DOWN... Hujachelewa anza sasa
Jr[emoji769]
ndo maana mliambiwa ni kaugonjwa kadogo tu ka mafua,alisema Magu akarudia Trump kwamba bora uugue mafua uko hatarini sio Corona.hamna ugonjwa paleNdugu zangu wameugua ...mimi niliugua na majirani pia ila hakukuwa na vifo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawando maana mliambiwa ni kaugonjwa kadogo tu ka mafua,alisema Magu akarudia Trump kwamba bora uugue mafua uko hatarini sio Corona.hamna ugonjwa pale
Waletee kama wewe unavyosema wakuletee. Sijauliza ziko wapi.
Kabisa mkuuMkuu na wewe waletee current data kuwa kuwa kuna covid Tanzania.
Analazimisha Corona iwepo wakati ilishaondoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waletee kama wewe unavyosema wakuletee. Sijauliza ziko wapi.
Hiyo sio kazi yangu wala lengo la hii madaWaletee kama wewe unavyosema wakuletee. Sijauliza ziko wapi.
Ila kuwaambia wengine waweke data kuwa hakuna covid 19 Tz ni kazi yao?! Lengo la mada yako ilikuwa kututahadharisha na ujio wa lockdown,kinyuma na maelezo ya wizara ya afya Tz, yaani wewe ulikuwa unajua hali ambayo inatukabili kinyume na wizara inavyodai. Ila muda umetueleza wizara walikuwa sahihi na wewe ulikuwa hujui usemacho. Waliofufua mada hii wanakuomba tu ukubali wakati unaandika hii mada ulifikiri unajua kumbe hujui na hujui kama hujui. Hamna ubaya kwenye hilo kwani wengi wetu tunachemkaga mambo mbalimbali kwenye maisha na jamii kwa jumla.