Ondoa wasiwasi corona ni mtz Hana tatizo na sisi...Tuige kenya wao hawatoki usiku tu na wamezuia watu kutoka na kuingia nairobi. Lockdown hapa kweli itakuwa na madhara makubwa kuliko corona yenyew
Kweli mkuu, nimelisahau hili namaanisha kwa baadhi ya nchi ni ngumu kama hii yetu hatuwezi total labda partial lockdownAfrika ni kubwa kuna nchi zipo kwenye lockdown ninavyotype.
Kuachapa kazi na kuacha kutishana....nchi fulani ina wagonjwa 15!Ukiachana na Quarrantine, Taja njia nyingine ambayo imewahi kutumika na kupelekea kupungua kwa cases mpya za Covid-19. Na hiyo njia ilitumiwa na nchi gani?
Unasema hivyo kama nani?Wewe pigs kazi, ugonjwa upo tangu disemba mwaka Jana watu wanapona wenyewe.
Jana nimestock kiaina. Naturally mimi napenda sana kukaa ndani, lockdown socially haitanisumbua ila economically itanimalizaWakati tukiwa busy baadhi yetu kuibeza hii hoja... Bado nakumbusha umuhimu wa kufanya maandalizi
Jr[emoji769]
Usiende bar, epuka mikusanyiko. Haihitaji zifungwe usiende.Wafunge Bars tu mana mikusanyiko bado mikubwa mule au kma sio kufunga then services ziwe za delivery tu
Wewe utakuwa umeajiriwa. Maanake huoni shida biashara za wenzio kufungwa kwasababu una uhakika mwisho wa mwezi.Total lockdown ni impossible kwa mazingira yetu na viongozi wanafahamu hilo..
Solution ni kufunga biashara zote ambazo sio vital kwa survival kama maduka ya hardware ,maduka ya vyombo ,maduka ya simu n.k then waache maduka ya vyakula na maduka ya madawa tu..
Wakifanya hivyo watapunguza idadi ya watu wanaotembea tembea hovyo.
tatizo mshana syo kuweka chakula ndani ,shida pesa ya chakula tu cha leo mpka niende kutafuta kibarua kama kuna lock down basi acha tu sisi wengine tufe tu hakuna jinsi
AminaMungu wetu ni mwema hatutakufa bali tutaishi
Jr[emoji769]
Unastahili kuwa bungeni kwa milele...Tutakufa na kirusi cha njaa kabla ya virus vya corona
Hivi afrika si wa hapa kwangu pakavu tia mchuzi ndio tunataka kuiga njia za kutatua tatizo wanazotumia wenzetu wenye uchumi uliosimama naona kama tunatafuta majanga zaidi