Mimi pia nashindwa kuwaelewa watu wanaomponda HP. Tatizo lake ni nini hasa? Nadhani watu wanamuona kama version ya JPM, Nadhani walokuwa na hasira na JPM wanaona wamalize hasira zao kwa HP. Ila huyu anaweza wasumbua iwapo watataka kushughulika nae, ata wademsha kweli maana akili kiasi fulani na HANA CHA KUPOTEZA. Niseme tu ukweli amejiposition vizuri na ana simphasize na wafuasi wa JPM.Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...
Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Was taken out of context...Swali la nyongeza:
Je Nyerere aliwahi kujisifia kutembea na Vieitee??
Hii ni statement!Mwl Nyerere alikua anatembea hovyo na warembo wa UVCCM?
Shetani alisha kaa nanyi tangu bustani ya eden,Polepole siyo mtu mstaarabu. Hawezi kushirikiana. Ili ushirikiane inatakiwa kukubali mtazamo wa wengine hata kama hukubaliani nao, kama vile ambavyo wao wanakubaliana na wewe hata wasipokubaliana nawe. Ukiona mtazamo wao ni mbaya sana basi unaacha kushirikiana nao mazima.
Sasa anaonekana kama mtu mgomvi tu. Unashikilia habari ya awamu ya 5 vs 6 ili iweje? Jambo lisilo na faida yoyote kwa nchi! Ni ugomvi na kukosa ustaarabu.
Mtu kama huyu akiwa rais ni rahisi nchi kuingia vitani, hawezi kucompromise.
Afadhali nyie godfather wenu bado anaishi akishikishwa ukuta na akina rob amster kule mamtoniGodFather wenu is no more kaeni kwa kutilia nyie push gang.
Wanabodi,
Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.
Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.
Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...
Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".
Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Hapa tayari umeshapanic 😂Afadhali nyie godfather wenu bado anaishi akishikishwa ukuta na akina rob amster kule mamtoni
Paskali kabla ya Polepole kuendelea kutupigia kelele aseme kwanza kwanini alitaka watu wanyamaze walipokuwa wakinyoosha nchi na sasa kwa nini yeye hataki kunyamaza wenzake wanapofungua nchi?
Haki ya kuongea anaitoa wapi ilihali wao hawakutaka wengine wapate haki hiyo alipokuwa akizunguka na Vee Eiteh?

wahuni tu ndo hawamwelewi
Low iqPolepole siyo mtu mstaarabu. Hawezi kushirikiana. Ili ushirikiane inatakiwa kukubali mtazamo wa wengine hata kama hukubaliani nao, kama vile ambavyo wao wanakubaliana na wewe hata wasipokubaliana nawe. Ukiona mtazamo wao ni mbaya sana basi unaacha kushirikiana nao mazima.
Sasa anaonekana kama mtu mgomvi tu. Unashikilia habari ya awamu ya 5 vs 6 ili iweje? Jambo lisilo na faida yoyote kwa nchi! Ni ugomvi na kukosa ustaarabu.
Mtu kama huyu akiwa rais ni rahisi nchi kuingia vitani, hawezi kucompromise.
JamiiForums fanya kupin hii commentShetani alisha kaa nanyi tangu bustani ya eden,
Hamuwezi kutambua kitu kizuli mpaka kitakapo ondoka na mkajikuta kwenye maumivu ndo mnakumbuka uzuri mlio ukataa.
Mungu anasema njooni kwangu huku ndiko palipo salama, nyie mnabisha eti ooh huko hakuana starehe mara wewe mungu ni mukoloni unatubana saana,
Mungu anarudia nyie huko mtaungua moto na nyie mnamwambi aah wapi unatuzuga.
Mkishaenda na kukuta moto mnaanza kilio ooh tusamehe mara nini lakini muda sio rafiki tena.
Sasa ndo nyie.
Mnamuona polepole mpuuzi lakini hajaomba kula pesa ya wananchi kifisadi anacho taka rasilimali za wanachi zitumike vizuri na msukumo wa wananchi kujitawala kiuchumi na haki kwa kila mtu.
Bali mnataka wahuni wawabane na kuwaambia unanijua mimi nani😳😳😳