Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

Mimi pia nashindwa kuwaelewa watu wanaomponda HP. Tatizo lake ni nini hasa? Nadhani watu wanamuona kama version ya JPM, Nadhani walokuwa na hasira na JPM wanaona wamalize hasira zao kwa HP. Ila huyu anaweza wasumbua iwapo watataka kushughulika nae, ata wademsha kweli maana akili kiasi fulani na HANA CHA KUPOTEZA. Niseme tu ukweli amejiposition vizuri na ana simphasize na wafuasi wa JPM.
Enzi zake aliruhusu watu waongee tuanzie hapo
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...

Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere!. Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!.

Mkuu Paskali, nadhani pia unakumbuka hotuba ya mwalimu kuhusu mala.ya wa kisiasa, Kosa la Polepole kwangu mimi ni hilo. Namuona kama ma.laya wa kisiasa tu, na siwez mfananisha na mwalimu Hata kidogo. Hebu tizama misimamo ya Polepole wakati wa madai ya katiba mpya /bunge la katiba then angalia misimamo yake akiwa msemaji wa chama…u will definitely see two different personalities in one person. Na hili ndilo mwalimu alikemea na kusema ni umalaya wa kisiasa, huna misimamo.
 
Wewe pasikali nyamaza aisee..kiroboto wakati nyumba za ndugu zetu zinabomolewa makusudi kabisa, na za wasukumu zikaamriwa zisiguswe, kitoboto ndo alikuwa injinia wa hayo maamuzi(sera). Maovu ni mengi tumetendewa.. nyamaza mzee, mioyo yetu inavuja damu kwa matendo maovu mengi tuliyotendewa nao. Familia zetu zimeteseka kwa maovu mengi..Tulia au na wewe ulikuwa sehemu ya genge lililotutesa na kutudhalilisha?
Polepole wa nyakati za katiba kurudi chini anaeleweka lakin huyu wa mavieite ya dikteta ni shetani kabisa kama mashetani mengine yote..kiroboto
 
Pascal Mayalla bora umeongea na wewe. Nazani sasa watu wataanza kuelewa vizuri.

Kuna watu wanahisi Polepole anakwamisha mambo..lakini ukweli ndio huo ulioandika.

Safi Sana.
Hakwamishi chochote ila sio busara kuzarau maamuzi ya wengine
Wakati wake ukisema unajikuta jera au tunakuokota
 
Je anayoyazungumza haya huyo Polepole kwanini hakuyazungumza awamu ile akiwa na position kubwa?

Je ni kweli mabaya mengi tu ya awamu ile hakuyaona?

Dosari za kwenye chaguzi zote mbili Serikali za mitaa (2019) na uchaguzi "uchafuzi" mkuu (2020) Polepole hakuziona kama hakuwa sehemu ya ulaghai ule?

Polepole hakuona mwenendo wa wanasiasa/wanaharakati wenye mawazo kinzani na boss wake wa wakati ule walipokuwa wakizimwa na hadi wengi kukimbilia ng'ambo??

Polepole hakua sehemu ya maamuzi juu ya katiba mpya ila ghafla akabadilika kama kinyonga na kuwaacha watanzania midomo wazi??

Polepole huyu huyu alishuhudia sheria kandamizi za kimtandao ila hakuongea bali alikua akishushia mvinyo na kupongeza "one man show" ya boss wake..?

It's not over until it's over...Karma is a bitch
Holi ndio jambo la kupima integrity
Mlema alishindwa na Mkapa
Nyerere hakuingilia kuharibu uchaguzi
 
Je anayoyazungumza haya huyo Polepole kwanini hakuyazungumza awamu ile akiwa na position kubwa?

Je ni kweli mabaya mengi tu ya awamu ile hakuyaona?

Dosari za kwenye chaguzi zote mbili Serikali za mitaa (2019) na uchaguzi "uchafuzi" mkuu (2020) Polepole hakuziona kama hakuwa sehemu ya ulaghai ule?

Polepole hakuona mwenendo wa wanasiasa/wanaharakati wenye mawazo kinzani na boss wake wa wakati ule walipokuwa wakizimwa na hadi wengi kukimbilia ng'ambo??

Polepole hakua sehemu ya maamuzi juu ya katiba mpya ila ghafla akabadilika kama kinyonga na kuwaacha watanzania midomo wazi??

Polepole huyu huyu alishuhudia sheria kandamizi za kimtandao ila hakuongea bali alikua akishushia mvinyo na kupongeza "one man show" ya boss wake..?

It's not over until it's over...Karma is a bitch
Holi ndio jambo la kupima integrity
Mlema alishindwa na Mkapa
Nyerere hakuingilia kuharibu uchaguzi
Wewe pasikali nyamaza aisee..kiroboto wakati nyumba za ndugu zetu zinabomolewa makusudi kabisa, na za wasukumu zikaamriwa zisiguswe, kitoboto ndo alikuwa injinia wa hayo maamuzi(sera). Maovu ni mengi tumetendewa.. nyamaza mzee, mioyo yetu inavuja damu kwa matendo maovu mengi tuliyotendewa nao. Familia zetu zimeteseka kwa maovu mengi..Tulia au na wewe ulikuwa sehemu ya genge lililotutesa na kutudhalilisha?
Polepole wa nyakati za katiba kurudi chini anaeleweka lakin huyu wa mavieite ya dikteta ni shetani kabisa kama mashetani mengine yote..kiroboto
Kama kweli alikua mpigania haki angesimama wakati wa dhoruba sio wakati wa hali kama sasa
 
Kitendo cha watu kuchangia katika nyuzi zako kinathibitisha kuwa ni kweli Watanzania wana matatizo ya uelewa.

Kwa upuuzi huu ambao huwa unaandika hukupaswa kupata mchangiaji hata mmoja.Ulipaswa upuuzwe.Watu wanashindwa kukupuuza kwa sababu wana matatizo ya uelewa.
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...

Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere!. Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!.

Tayari polepole kafananishwa na Nyerere 🤣ila nyie watu nyie!! Mnazidi kumdharaulisha sana Mwalimu. Ni washauri tu tafuteni watu wengine wa kuwafananisha mbona wapo weng sana? Kina Augustine M, na wengine.
 
yani wewe kichwa kimoja unapoanza kuhisi watanzania zaidi ya 40m wana tatizo la uelewa jua kuwa wewe ni tatizo zaidi yao.

nimeishia kwenye heading tu.
 
wanaomjua polepole, hawapendi hata kumsikiliza kwenye izo clip zake. ila ninyi ambao hammjui kiundani ndio mnashobokea. anafanya maigizo, ni mmoja wa watu walioharibu sana nchi hii kwenye uchaguzi wa 2020. ndio maana ana gurts hata za kusema jpm hakumaliza wote ambao yeye anatamani wangekuwa wamemalizwa. ni mchafuzi tu ambaye anataka kuturudisha kwenye zile siasa za miaka 6 zilizotuumiza moyo na kutuondolea pesa mifukoni watu wakaishi kama mashetani. mpuuzeni au mfukuzeni chama muone ataenda wapo, hana kwa kwenda, hana uzoefu wa maisha, na hakuna atakayempokea mwenezi wa ccm wa 2020. anajifanay ni mwanaccm, lakini haijui ccm, aliokotwa tu akawekwa kwenye chama akaongoza watu waliokotolea jasho la damu, akawanyanyasa na sasaivi anawasema kuwa walitakiwa wamalizwe. poor him.

huyu hana tofauti na bashite, aliyesaidiwa na rizmoko na jk kupewa cheo, aliokotwa tu, lakini mwishoni akajifanya mzalendo sana kiburi kilipokuwa juu, akamsingizia rizmoko kuwa anauza madawa. hata kama alikuwa anauza, usaliti kwa mtu aliyekusaidia wa namna hii ni kwa mtu ambaye hana maana na haaminiki, anaweza kumsaliti hata mzazi wake wa kumzaa.

ila ninachowapendea watz ni kuwa, wana ugonjwa wa kusahau mno, polepole yule wa bunge la katiba, aliyebadilika akawa nyoka wa kijani kwenye uenezi na uchaguzi, leo anabadilika anataka kuwa kondoo anaonewa huruma na atapata wafuasi. wameshasahau na yeye akiamua atawashangaza tena kwa kituko kingine.
Yan mtu ambaye juzi tu hapa alikuwa injinia wa biadhara chafu ya kununua vijana wa kitanzania, akitumia kodi zetu tunazozitoa kwa jasho jingi, lengo ili aue demokrasia na uhuru wa nchi hii, leo analilia demekrasia na uhuru!! Huu si ukasuku? Unamlinganisha Mwalimu wa nchi hii na kiroboto?!! Hiv mwalimu angeweza kutumia pesa za walipa kodi kuwanunua wanasiasa?!!!! Wewe pasikali wewe?!!!!
 
wanaomjua polepole, hawapendi hata kumsikiliza kwenye izo clip zake. ila ninyi ambao hammjui kiundani ndio mnashobokea. anafanya maigizo, ni mmoja wa watu walioharibu sana nchi hii kwenye uchaguzi wa 2020. ndio maana ana gurts hata za kusema jpm hakumaliza wote ambao yeye anatamani wangekuwa wamemalizwa. ni mchafuzi tu ambaye anataka kuturudisha kwenye zile siasa za miaka 6 zilizotuumiza moyo na kutuondolea pesa mifukoni watu wakaishi kama mashetani. mpuuzeni au mfukuzeni chama muone ataenda wapo, hana kwa kwenda, hana uzoefu wa maisha, na hakuna atakayempokea mwenezi wa ccm wa 2020. anajifanay ni mwanaccm, lakini haijui ccm, aliokotwa tu akawekwa kwenye chama akaongoza watu waliokotolea jasho la damu, akawanyanyasa na sasaivi anawasema kuwa walitakiwa wamalizwe. poor him.

huyu hana tofauti na bashite, aliyesaidiwa na rizmoko na jk kupewa cheo, aliokotwa tu, lakini mwishoni akajifanya mzalendo sana kiburi kilipokuwa juu, akamsingizia rizmoko kuwa anauza madawa. hata kama alikuwa anauza, usaliti kwa mtu aliyekusaidia wa namna hii ni kwa mtu ambaye hana maana na haaminiki, anaweza kumsaliti hata mzazi wake wa kumzaa.

ila ninachowapendea watz ni kuwa, wana ugonjwa wa kusahau mno, polepole yule wa bunge la katiba, aliyebadilika akawa nyoka wa kijani kwenye uenezi na uchaguzi, leo anabadilika anataka kuwa kondoo anaonewa huruma na atapata wafuasi. wameshasahau na yeye akiamua atawashangaza tena kwa kituko kingine.
umenena vyema sana juu ya huyu mtu
 
Huyu Polepole ambaye leo anaona TCRA inaingilia uhuru wake ndiye huyo huyo Polepole ambaye aliwaambia TCRA wafanye kazi yao kwa anayemsumbua mnyoosha nchi. Ilifikia hatua Polepole aliona ni dhambi kubwa sana kumkosoa Magufuli. Au Paskali umesahau? Huyo Nyerere unayemfananisha naye ni wa mchongo!
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...

Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere!. Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!.

Wasukuma mmeamu moja, ngoja tuone
 
Pascal Mayalla

Hakuna CCM yoyote wa sasa mwenye kufanana mitizamo ama mawazo na Mwl Nyerere, hakika hakuna...

Huyu Polepole ndani tu ya miaka kama minane au kenda hivi, ameweza kuwa na kama rangi tatu tofauti, mosi rangi ya bunge la katiba; mbili, rangi ya serikali ya JPM; tatu, rangi ya sasa isiyo na jina bado...

Huyu Polepole ndio wa kutuhubiria sasa kwamba watu waachwe waongee kwa kuwa uhuru wa kutoa mawazo kila mwenye mdomo anao!! Huyu si alikuwa ni sehemu ya serikali iliyowaziba midomo wapinzani huyu???
 
Wanabodi,

Kuna uwezekano uelewa wa Watanzania walio wengi kuelewa mambo makubwa, ni uelewa finyu, uelewa mdogo, uelewa duni au uelewa wenye mushkeli?. Maana kuna siku niliwahi kuandika makala fulani, kwenye gazeti fulani, kuulizia jambo fulani, tena na alama ya kuuliza ikawekwa!, niliitwa mahali kuhojiwa!, ati nimetoa statement fulani!, Nilipouliza ni statement gani?, mbona nimeuliza swali, nikajibiwa "alama ya kuuliza haikuonekana!.

Hii ni kufuatia wengi kutomwelewa Humphrey Polepole. Nikimwangalia Polepole na kumsikiliza kwa makini, namuona kabisa, hii ni reincarnation ya Mwalimu Nyerere!. Sasa hawa madogo wengi za sasa ambao hawakumjua Mwalimu, kama Mwalimu angekuwepo, wangemuelewa kweli?.

Mbona mimi najiona kama namwelewa sana Polepole!.
Hebu msikilize hapa, angalia jinsi anavyoongea...

Ni kama Mwalimu kabisa!.
Kwenye ule mkutano wa Mwalimu Nyerere na Waandishi wa Habari, wa Simba Grill, Hoteli ya Kilimajaro, mwaka 1995, mimi nilikuwepo.
Mwalimu alisema kila anapokwenda, anatembea na vijitabu viwili, Biblia na Azimio la Arusha. Sasa kila akilisoma Azimio la Arusha, haoni kosa lolote. Serikali ya awamu ya pili ililifuta Azimio la Arusha, ikapitisha Azimio la Zanzibar. Mwalimu askasema, "serikali yetu imefanya mazuri na mengine ya kijinga!, akashangaa, awamu iliyofuata, imeyaacha mazuri kama miiko ya Uongozi kwenye Azimio la Arusha, na kukumbatia ya kijinga".

Watu wasichoelewa kumhusu Polepole ni nini haswa?.
Paskali
Update

Naunga mkono hoja, japo nimeishi Msasani jirani na kwa Nyerere, pale kwa Nyerere kwetu was a playing ground, japo nimesali St. Peters ambalo ni kanisa la Nyerere na alikuwa anasali misa ya asubuhi daily, lakini ni kweli naweza nisimfahamu Nyerere hivyo kuhitaji kumfahamu zaidi, na ili umfahamu mtu ni lazima ama uzungumze naye ama umuulizie taarifa zake. Thanks God kwa upande wangu I did both, nimezungumza na Nyerere, nimefanya nae mahojiano, hivyo kwa kiasi changu namfahamu Nyerere, na nimemzunguza sana tuu humu.
Mtu kufanana na mtu mwingine, sio lazima wafanane kila kitu, wanaweza kufanana mawazo, matendo, maneno, misimamo, tabia, etc. Polepole, anafanana na Nyerere kwa kuongea, anaongea kama Nyerere, ana kichwa kama cha Nyerere, hata umbo kama la Nyerere, he jokes kama Nyerere, nadhani he is intelligent kama Nyerere!. Japo tuna viongozi wengi , sii wote ni viongozi intelligent kama Nyerere, Polepole is, lakini ukiwa huna intelligence ya kumwelewa Polepole, then Nyerere ndio kabisa!.

Hata yule aliyeongea pale uwanjani siku ya kumbukumbu ya Uhuru mbona Ni nyerere kabisa. Issue siyo unyerere issue ni kuongea kutaka cheo na kutokuwa na msimamo. Nyerere alikuwa na msimamo. Polepole huyu anabadilika badilika kutokana na upepo. Muangalie wakati wa Katiba mpya na Sasa.

Pili polepole kwa kushirikiana na jom wameua watu wengi mpaka wengine walikuwa wanaokotwa kwenye viloba.

Polepole huyuhuyu alikuwa anavizuia na kuvipiga mkwara vyombo vya habari Kama tv au redio kutorusha habari zozote za chadema wakati wa uchaguzi.

Ni polepole huyuhuyu ambaye chadema walikuwa na mkutano pale mlimani city akawapiga mkwara Sana azam tv wasirushe wlakati tayari walikuwa wamejiandaa kwa Hilo halafu yeye Leo ameachwa aongee upumbafu wake. Amshukuru mungu tu tumempata rais wa haki asiyependa torture Kama jpm wa kisukuma na Nina wasiwasi Ni we ni mshamba wa kisukuma.

Siku nyingine ukitaka kuandika use unatumia akiri kidogo siyo kuendeshwa na ushabiki wa siku moja. Msomi anachambua kwa umakini Sana Mana kila neno philosophically lin maana. Jifunze kutoka kwa ask. Bagonza namna ya kupresent issues. Nayo mutama!!!!
 
Nyerere alipinga sana ukigeugeu yeye aliuita UMALAYA, kwaiyo nyerere alikua Malaya wa kisiasa kama polepole? maana Polepole wa tume ya warioba ni tofauti na polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm ya mwendazake na huyu polepole wa shule ya uongozi. Yaani hawa Polepole watatu siku wakikutana itakua vita.

Nyerere alikua tayari kuwajibika kwa misimamo, mitazamo na Imani yake,Je polepole ana hizo sifa? zaidi namuona ni mganga njaa, anaangalia upepo ili apate mwendo wa kisiasa kwa maslahi take binafsi na watu wanaomtuma. Polepole hakuwahi kuisemea Katiba mpya wakati akiwa high table labda ni asili ya wanaccm kuwa na unafiki pale wanapokuwa wanafaidika na mfumo.
kiujumla kumfananisha Polepole na Nyerere sio sawa kabisa Polepole hata ndani ya chama ni mtu mdogo sana kufikia kumfananisha na yule mzee labda polepole umfananishe na kina Esta Bulaya au Halima Mdee
 
Back
Top Bottom