Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

Kiingereza ndiyo lugha kuu ya dunia. Hii haihitaji kwenda shule kubwa kujifunza. Kuna vyanzo vingi vya kuanzia kujifunza kuandika na kuongea. Ni uzembe na uvivu wa watanzania kujifunza tangu wakiwa shule ya msingi na sekondari. Unakuta vijana wengi wamehitimu elimu ya sekondari wako mitaani wengine ni bodaboda, mama lishe na wengine wengi lakini kiingereza hawajui kana kwamba hawakwenda shule wakati sekondari za kata zimeenea nchi nzima. Unakuta polisi au mwalimu na hata muuguzi hospitalini kuongea kiingereza ni shida, wakikutana na mgeni asiyejua kiswahili wanakimbia kuogopa kufanya ukalimani, ni aibu kwa kweli. Muda wa kujifunza wanao, vitabu na simu zipo wakajifunze huko
 
Huyo dada anaishi Kenya Kwa miaka mingi na hiyo video inapewa backup na Wakenya. Hawa anafanya road trip kutokea Kenya
 
Sasa mkuu apa hii thread yako ni kama umetaka kuja kuongeza Trophy points tuu bora ....yani Thread unasema inasambaa alafu unekuja huku unashindwa ku attach video sasa nani atakuamini kwa sisi ambao hatujaona?
 
Well,If you consider that education boils down to knowledge of the colonial language, then my friend, your education is useless.

Knowing or not knowing English doesn't mean you're superior to others! As Tanzanians, English is not our mother tongue.

I can't be surprised to see my fellow Tanzanians unable to speak or write in English.
 
Kwa hiyo Mwingereza akiongea Kiswahili ni mtumwa kwa Kiswahili kutoka Tz?
Kuelewa ni kugumu sana, hivi kingereza ni lugha Mama ya Wakenya? Hivi Kiswahili sio lugha Mama ya watanzania? Mwingereza akiongea Kiswahili ndio ni mtumwa wa Kiswahili tumemtuma azungumze Kiswahili akitangaze Kiswahili cha kwetu kifike mbali na kuvuka mipaka zaidi BBC Swahili
 
Back
Top Bottom