Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

mbona Wachina, Wamexico na Wabrazil wanakiepuka ?

Nimeishi jirani na Wabrazil, hata maji hawajui inasemwaje... Mbona wao wamekiepuka ?
Hapo mwenye sifa ni china tu, mexico wanapiga spanish ni lugha kubwa ,haki kadhalika brazilian portuguese,
 
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.

Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.

Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
alokwambia kingereza dili ni nani??
dunia haiongee kingereza babu ushamba wako tu !
Ujerumani wanaongea kijeruman
Ufaransa wanaongea kifaransa
China wanaongea mandarin
India ndo balaaa wanalugha kibao lakin si kingereza
Japan kijapan

Dunia nzima wanaoongea kingereza 1.5Bilion na duniani tupo bilioni 8
Haya akili kumkichwa na Kasumba yako
 
Wee ni mpumbavu sana,aliyekwambia kutokujua kiingereza ni kukosa elimu nani? Kuna mzungu,au mwarabu anaona aibu kutokujua kiswahili? Stup!dity to it's apex!🚮
 
Toka primary somo la ngeli tunalo mkuu, secondary ndo wote tunapiga ngeli tupu mpaka maadvance na chuo huko, ngeli tumefeli🤣 na mkoloni kapita hapa
 
Wee ni mpumbavu sana,aliyekwambia kutokujua kiingereza ni kukosa elimu nani? Kuna mzungu,au mwarabu anaona aibu kutokujua kiswahili? Stup!dity to it's apex!🚮
Acha kupayuka wewe sir elton john? Hujui kiingereza nenda kalalamike kwa mumeo
 
Mi naona mtu anae cheka jeshi letu sio mzalendo kabisa kazi za mipakani sio poa kabisa
 
Watanzania watateteana kwa upumbavu.

Askari yupo boda hajui English, atafanya vipi mahojiano na raia wa kigeni pindi anapohisi kuna viashiria vya uhalifu?

Narudia tena ni upambavu wa Watanzania kuteteana ujinga.
Ni upumbavu wako ww Kwa kutokujua kwamba ni lazima ujifunze kijerumani kabla ya kuvuka boda Yao!
 
Hii nchi ina watu wajinga sana, mmojawapo ni mtoa mada: samahani sana kwa hilo.

Kama ilivyo kwa Waingereza wenyewe hawaoni haja ya kujifunza lugha nyingine mbali na Kiingereza kwasababu lugha yao tayari inajitosheleza. Isipokuwa wataalamu wa lugha, wakalimani na watu wa fani zinazowakutanisha na watu wa mataifa mbalimbali.

Ukienda Germany, France utakutana na watu hawajui kitu kabisa kuhusu Kiingereza na wapo bara moja na Uingereza na wala siyo kutokuwa na elimu na hawaoni aibu kwasababu wao tayari wana lugha zao ambazo ndiyo zinachangia wanakuwa na elimu bora kwasababu walimu na wanafunzi wanaelewana kwa kutumia lugha zao rasmi ambazo zinazungumwa kwa ufasaha zaidi.

Ukija Africa karibia kila nchi inaongea lugha walizoachiwa na Wakoloni. Ni Kiswahili pekee ndiyo lugha ya Africa yenye waongeaji wengi na Tanzania ndiyo nchi pekee inayoongea Kiswahili fasaha.

Ni muda sasa nchi yetu ikitukuze Kiswahili kama lugha ya kufundishia kuanzia shule za msingi mpaka chuo kikuu na elimu ya chuo kikuu pekee ndiyo itolewe kwa lugha mbili: Swahili & English: hii ni kwasababu ya wanafunzi wa kimataifa.

Kiingereza siyo lugha muhimu kwa Askari wetu kwasababu wanafanya kazi Tanzania, hapa siyo Uingereza wala Marekani. Kiingereza kibaki kama lugha nyingine tu, kwa wale wanaohitaji kukifahamu watajifunza kama vile Watanzania wengine wanavyojifunza Kifaransa, Kichina n.k.

Hawa wageni mpaka wanafika hapa wanajua wazi hii siyo nchi inayozungumza Kiingereza, wanapaswa kujiandaa kwa hilo. Leo hii huwezi kwenda Portugal, Brazil au Colombia halafu ukaanza kulalamika kwanini watu wa huko wanaongea Kiingereza kibaya, wewe kama mgeni unapaswa kujua utazungumzaje kwenye nchi za watu. Kuna maeneo yanayopokea wageni wa Kimataifa ndiyo wana jukumu la kujua lugha zaidi ya Kiswahili.
Umeandika gazeti refu hakuna hoja!! Wewe ni kiazi. Hujui kiingereza kenge wewe
 
Toka primary somo la ngeli tunalo mkuu, secondary ndo wote tunapiga ngeli tupu mpaka maadvance na chuo huko, ngeli tumefeli🤣 na mkoloni kapita hapa
Na kuna mawaziri wa elimu me na ke wasomi wote waliboronga kwenye kuongea hiyo lugha, so tukubali matokeo, tukaze buti na kiswahili chetu
 
Kwa hakika hao polisi wamewakilisha vema serikali yao chama cha mapinduzi
Serikali iliyo waajiri
Askari wa mpakani anatakiwa ajue lugha zaidi ya moja tena kwa ufasaha
 
alokwambia kingereza dili ni nani??
dunia haiongee kingereza babu ushamba wako tu !
Ujerumani wanaongea kijeruman
Ufaransa wanaongea kifaransa
China wanaongea mandarin
India ndo balaaa wanalugha kibao lakin si kingereza
Japan kijapan

Dunia nzima wanaoongea kingereza 1.5Bilion na duniani tupo bilioni 8
Haya akili kumkichwa na Kasumba yako
Wewe ni tabularasa
 
Labda kiingereza ni kigumu
Mama ameagiza kiarabu na kichina vianze kufundishwa kwenye mtaala mpya
 
Kwa hakika hao polisi wamewakilisha vema serikali yao chama cha mapinduzi
Serikali iliyo waajiri
Askari wa mpakani anatakiwa ajue lugha zaidi ya moja tena kwa ufasaha
Mkuu agiza pepsi baridi popote ulipo!

Nabishana na askari hapo juu wenye D mbili wanakwambia kiingereza sio dili? KMMK
 
Kwa hakika hao polisi wamewakilisha vema serikali yao chama cha mapinduzi
Serikali iliyo waajiri
Askari wa mpakani anatakiwa ajue lugha zaidi ya moja tena kwa ufasaha
Zitaje hizo lugha ww nyoka,maana Kuna wageni wengi wanaoingia Tanzania kutoka mataifa mbali mbali
 
Back
Top Bottom