Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mzee dunia ya sasa Kiingereza muhimu wewe baki na Kiswahili chakoKuelewa ni kugumu sana, hivi kingereza ni lugha Mama ya Wakenya? Hivi Kiswahili sio lugha Mama ya watanzania? Mwingereza akiongea Kiswahili ndio ni mtumwa wa Kiswahili tumemtuma azungumze Kiswahili akitangaze Kiswahili cha kwetu kifike mbali na kuvuka mipaka zaidi BBC Swahili