halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 605
- 1,644
Mada yenyewe umeleta haina mpangilio wala supporting documents, halafu inaonekana wewe bado una fikra za utumwa wa lugha, cha ajabu nini sasa kutofahamu lugha ya kiingereza, mbona hata huko ulaya ni nchi kibao tu za wazungu wanabambia kingereza au unadhani hiko chako cha yes yes mzungu kala mafenesi ndio kingereza? Acha kuwa mtumwa wa fikra.