Kuna video inasambaa mitandaoni, kiingereza kwa Watanzania wengi ni shida sana!!

Ni jamaa au mwanamke? Sijaona Cha ajabu mbona wameongea nae vizuri tu mpaka anaondoka anasema " are Tanzania police always this nice? "
***** wale Kenge ilibidi wawe tu wapole sababu ya kizungu, waliona mambo yasiwe mengi, ndo zao hao wakiona mtu mgeni au ukiwapigisha ngeli huwa wanasanda na kujikuta wakarimu .....🤗🤗🤗
 
Acheni ulimbungeni,
China wanajua wanafanya biashara na watu wengi lakini hawana time na hicho kiingereza, akishajua basic vya kuwasiliana anastick kwenye lugha yake,Nani kawadanganya kujua kiingereza ni ujanja?
 
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.

Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.

Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
ukoloni mamboleo tu unakusumbua. Hivi wachina, wajapani wanaopiga kazi kwa lugha zao kuna shida gani?

Halafu siku hizi kuna apps ambazo zinatafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine, tatizo ni nini sasa?
 
Huu utumwa utaisha lini? Mleta mada ni mtumwa lakini hajui kama ni mtumwa.
Mleta mada ana hoja Mfano mataifa ya ulaya wasiozungumza kiingereza Mfano France, German, Italy, Spain, Belgium, scandinavia n.k. kiingereza ndiyo lugha muhimu Kwa lugha za kigeni wanafundishwa vizuri na wanakiongea kama kikwao utagundua wenzetu wapo strategic na hawaja temper na elimu sasa nikuulize swali mjerumani kujua kiingereza ni utumwa au ni matakwa ya Dunia? Kama wewe unakaa nanjikinji ukisafir kuja Dsm labda unaenda mhimbili kama siyo Mloganzila utakuwa sawa lakini kama upo ofisi flani au kupata na mwewe kuvuka maji kwenga ng'ambo huu ulioandika utakuwa upumbav
 
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.

Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.

Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
Kweli wajinga kama wewe kwenye dunia hiini wengi!
 
Acha upuuzi wewe fagilia lugha yako....
 
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi.

Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye pikipiki so alikuwa anarekodi matukio na kuyapost mtandaoni.

Tusomeshe watoto jamani dunia ya sasa kiingereza hakiepukiki
Wewe ndio mwenye shida. Huyo Dada anaweza kuongea Kiswahili vizuri?
 
Nimeona aibu mm kwa upumbavu aloandika mtoa uzi
Dah tunadhihirisha ufinyu wetu wa kufikiri. Yan mtoa mada unadhani kiingereza ndo kilakituuu??

Dah kwa akili hizo bado utaendelea kumshukuru waziri kwa kuleta mvua

China hawajui kiingereza
Aibu kamuonee mumeo huko
 
Mada yenyewe umeleta haina mpangilio wala supporting documents, halafu inaonekana wewe bado una fikra za utumwa wa lugha, cha ajabu nini sasa kutofahamu lugha ya kiingereza, mbona hata huko ulaya ni nchi kibao tu za wazungu wanabambia kingereza au unadhani hiko chako cha yes yes mzungu kala mafenesi ndio kingereza? Acha kuwa mtumwa wa fikra.
Ulivyo mjinga kuchwani mwako, ukaja ku-coment usichokielewa na kisichokuhusu. Kenge wewe
 
ukoloni mamboleo tu unakusumbua. Hivi wachina, wajapani wanaopiga kazi kwa lugha zao kuna shida gani?

Halafu siku hizi kuna apps ambazo zinatafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine, tatizo ni nini sasa?
Ndio umeandika nini? 🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom