KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Mods hawachelewi kufuta nyuzi zangu naomba watende Haki AU waniite Kwajili ya ushahidi kama wanaona navyo post Sio sahihiMajina yao yote yamewekwa hadharani kitambo mno
Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.
alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
Baraka nyingi kwakoBinafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
Anayeuza rasilimali za nchi Kwa waarabu na warusi na ambaye hata kijiko Cha Bibi Yako hajawahi kuuza nani anatumika na beberuKama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Kisa tu eti uwenyekiti -ambao alipigwa kihalali kabisaa huku watu wote tukishuhudia live.Majina yao yote yamewekwa hadharani kitambo mno
Hebu yatajeMajina yao yote yamewekwa hadharani kitambo mno
Mwamba!!!!!!!🐼Majina yao yote yamewekwa hadharani kitambo mno
Anaetumia mabeberu huyu hapaKama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Kweli kabisa huyo kauza bandari, kauza hifadhi na kuhamisha maasai,kauza maeneo makubwa na ya kimkakati,kaingia mikataba mibaya na mibovu kabisa isiyo na maslahi na Nchi kwa kweli hatufai kabisaaaa na watu wanatekwa na kuuwawa hafanyi chochote Lisu hana maana.Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
Mnakuwaga kama mazezeta,mkiitwa tu mnaanza kuimba nyimbo zenu..ongezea hapo nrneKweli kabisa huyo kauza bandari, kauza hifadhi na kuhamisha maasai,kauza maeneo makubwa na ya kimkakati,kaingia mikataba mibaya na mibovu kabisa isiyo na maslahi na Nchi kwa kweli hatufai kabisaaaa na watu wanatekwa na kuuwawa hafanyi chochote Lisu hana maana.
Wamefanyaje TenaMods hawachelewi kufuta nyuzi zangu naomba watende Haki AU waniite Kwajili ya ushahidi kama wanaona navyo post Sio sahihi
Ukute unafanya kazi kwenye taasisi ya nje iliyowekeza nchiniAnayeuza rasilimali za nchi Kwa waarabu na warusi na ambaye hata kijiko Cha Bibi Yako hajawahi kuuza nani anatumika na beberu
Kila nikipost thread wanafuta tena Bila sababu last week post 2 za maana zimefutwa Bila sababuWamefanyaje Tena