GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Kila anayehusika kwenye hii kesi ya Lissu atapukutikaBinafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
Mkuu mbona uko nyuma sana!Who are they? Msani wane
Mbowe ndiye mratibu wa hao watu na kaambiwa na ccm asitoke kwanza chadema mpaka afanikishe uratibu wa hao watu ...kama alivyo fanya kwa wale wazenji walio fungua kesi .taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.
alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
Yashawekwa humu na yakafutwaHebu yataje
Fanya kuni-tag sijauona uziMkuu mbona uko nyuma sana!
Ushahidi kidogo mkuuMbowe nduye mratibu wa hao watuna kaambiwa na ccm asitoke kwanza chadema mpaka afanikishe uratibu wa hao watu ...kama alivyo fanya kwa wale wazenji walio fungua kesi .
Muhuni Rostam ana cheo gani huko kwenye serikali ya CCM hadi kufikia hatua ya kusaini mkataba huku muhuni mwenzake akishuhudia? Hebu kuwa serious kidogo ndugu.Kama una hela kawekeze,wekeza kwenye madini,bandari,nishati etc,au lete wawekezaji wako
Kweli kabisaaa ndio maana wenye "akili watatiki" ili wengine wakale vizuriMnakuwaga kama mazezeta,mkiitwa tu mnaanza kuimba nyimbo zenu..ongezea hapo nrne
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Acha kutisha watu nyuma ya keyboard wakati we mwenyewe ni nyumbu tu kijiko kikidondoka ndani breki ya kwanza kwenye uvungu kujificha