Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

Mwenye lugha isiyohusu maombi na maandamano ailete mezani.
Hizo mbili zimethibitika kutoleta matokeo chanya na hazina nguvu hiyo.
La mtu-asset anaweza kufa kienyeji hivi hivi.
 
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.

alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
Mbowe wa kwanza
 
Wazalendo tunasimama upande wa haki iwe jua au mvua.
 
Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Hivi huwa inakuwaje namna hii ukishakuwa wa ile imani? Halafu ikatokea mtenda dhambi ni wa ile imani? Nina rafiki zangu wa ile imani, hata kama wafanye kituko huwa naamua kutokuwaambia ukweli kwa sababu ya reactions zao!
 
Na nyinyi mnaowapa wajomba zenu waarabu mbuga na bandari zetu tuwape nini ili iwe fundisho kwenu?
Nakuheshimu kweli, waarabu wamepewa mbuga na bandari,ila wazungu ni wawekezaji wao hawajapewa na hakuna ubaya!
 
taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.

alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
🤣🤣🤣
 
Binafsi ninaenda kuingia kwenye mfungo wa maombi na kwa niaba ya Tundu Lissu nitasimama na neno kwenye Zaburi 109. Hii ni Kwa wale wote waliohusika kupanga na kutekeleza uovu huu mkubwa sana dhidi ya Tundu Lissu.
Zaburi 109:1-31 (KJV) Ee Mungu wa sifa zangu, usinyamaze,
Kwa maana wamenifumbulia kinywa; Kinywa cha mtu asiye haki, cha hila, Wamesema nami kwa ulimi wa uongo.
Naam, kwa maneno ya chuki wamenizunguka, Wamepigana nami bure.
Badala ya upendo wangu wao hunishitaki, Ijapokuwa naliwaombea.
Wamenichukuza mabaya badala ya mema, Na chuki badala ya upendo wangu.
Uweke mtu mkorofi juu yake, Mshitaki asimame mkono wake wa kuume.
Katika kuhukumiwa ataonekana hana haki, Na sala yake itadhaniwa kuwa ni dhambi.
Siku zake na ziwe chache, Usimamizi wake na atwae mtu mwingine.
Wanawe na wawe yatima, Na mkewe na awe mjane.
Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.
Mdai na anase vitu vyote alivyo navyo, Wageni na wateke mapato ya kazi yake.
Asiwe na mtu wa kumfanyia fadhili, Wala mtu wa kuwahurumia yatima wake.
Wazao wake waangamizwe, Jina lao likafutwe katika kizazi cha pili.
Uovu wa baba zake ukumbukwe mbele za Bwana, Na dhambi ya mamaye isifutwe.
Ziwe mbele za Bwana daima, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
Kwa kuwa hakukumbuka kutenda fadhili, Bali alimfukuza mnyonge na mhitaji, Hata akamfisha mtu aliyevunjika moyo,
Naye alipenda kulaani, nako kukampata. Hakupendezwa na kubariki, kukawa mbali naye,
Alijivika laana kana kwamba ni vazi lake. Ikamwingilia moyoni kama maji, Na kama mafuta mifupani mwake.
Na iwe kwake kama vazi ajivikalo, Na kama mshipi ajifungao daima.
Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa Bwana, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Na Wewe, MUNGU, Bwana, unitendee kwa ajili ya jina lako, Kwa kuwa fadhili zako ni njema uniokoe.
Kwa maana mimi ni mnyonge na mhitaji, Na moyo wangu umejeruhi ndani yangu.
Ninapita kama kivuli kianzacho kutoweka, Ninapeperushwa kama nzige.
Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga, Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta.
Nami nalikuwa laumu kwao, Wanionapo hutikisa vichwa vyao.
Ee Bwana, Mungu wangu, unisaidie, Uniokoe sawasawa na fadhili zako.
Nao wakajue ya kuwa ndio mkono wako; Wewe, Bwana, umeyafanya hayo.
Wao walaani, bali Wewe utabariki, Wameondoka wao wakaaibishwa, Bali mtumishi wako atafurahi.
Washitaki wangu watavikwa fedheha, Watajivika aibu yao kama joho.
Nitamshukuru Bwana kwa kinywa changu, Naam, nitamsifu katikati ya mkutano.
Maana atasimama mkono wa kuume wa mhitaji Amwokoe na wanaoihukumu nafsi yake.
 
Uongo hujitenga .hao vigogo watajulikana tu na Lissu hatanyongwa kwa mashtaka ya uongo kama hayo.kama wanasema ukweli kwanini wafichwe hofu yao ya nini.
 
Back
Top Bottom