Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.

alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
Mnajua kutafuta huruma nyie!
 
Mbow3
 
Ukisimama upande wa Haki,upo na Mungu, ukisimama upande wa Ubatili,Upo upande wa Shetani,Mungu hajawi shindwa na dhulma!
 
Teacher ....Che fondoh Malone nickname.... Rock MTU huru... Mwita... Mume WA zamani WA yule dada WA superwoman.... CODED
 
Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Samia na wahuni wenzake wanauza nchi kwa kusaini mikataba ya kitapeli mchana kweupe, na husemi lolote. Ajabu sana.
Wahuni.PNG
 
Back
Top Bottom