George Bush
Member
- Sep 8, 2024
- 59
- 42
Mnajua kutafuta huruma nyie!taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.
alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
Huruma Gani ambayo inatafutwa apo!??? Mnyongeni si mna UBAVU HUO.Mnajua kutafuta huruma nyie!
Kwanza we ni ke au me ,tuanzie hapa kwanza ,nataka nikujibu jambo flaniKama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Mbow3taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.
alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
Bisexual uyo Hana AkiliKwanza we ni ke au me ,tuanzie hapa kwanza ,nataka nikujibu jambo flani
Mtu ulikuwa unamuheshimu vizuri tu, mara huyo kashacomment ujinga😂Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
Hayakuhusu..... Unataka nawe upewe KAZI ninapo patia ugali yangu auUkute unafanya kazi kwenye taasisi ya nje iliyowekeza nchini
Hata kuelewa muktadha shida,ila makelele sasa!Hayakuhusu..... Unataka nawe upewe KAZI ninapo patia ugali yangu au
we una teremusha humuKila nikipost thread wanafuta tena Bila sababu last week post 2 za maana zimefutwa Bila sababu
we nakuheshimu Sanaa aisee! Usije sababisha tukafika Mbali ntakupekenyua Hadi nikupate details zako.Hata kuelewa muktadha shida,ila makelele sasa!
Kama unazihitaji details zangu sema nikupewe nakuheshimu Sanaa aisee! Usije sababisha tukafika Mbali ntakupekenyua Hadi nikupate details zako.
Ukisimama upande wa Haki,upo na Mungu, ukisimama upande wa Ubatili,Upo upande wa Shetani,Mungu hajawi shindwa na dhulma!taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za serikali.
alert! Msiogope Haki itashinda na sio muda mrefu tu Haki itatawala ( Kuna bomu atakuja nalo Polepole la mwisho ni Juu ya Reforms za CHADEMA na kum back up Lissu).
DumbKama unazihitaji details zangu sema nikupe
Na nyinyi mnaowapa wajomba zenu waarabu mbuga na bandari zetu tuwape nini ili iwe fundisho kwenu?Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake
John mrema hakosekaniMajina yao yote yamewekwa hadharani kitambo mno
Samia na wahuni wenzake wanauza nchi kwa kusaini mikataba ya kitapeli mchana kweupe, na husemi lolote. Ajabu sana.Kama anatumika na mabeberu basi apewe haki yake